Recent content by PYD

  1. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

    Hapana sio kirahisi hivyo. Alinitajia jina lake,majina ya wazazi wangu,tulipokua tunaishi,mazingira ya kipindi hicho yani historia yote
  2. P

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

    Aisee umenikumbusha majuzi.kuna mkoa nilienda vijijini ndanindani ambako hata sijawahi kufika toka nizaliwe. Wakati natembeatembea njiani nikashangaa naitwa jina langu na mmama mmoja hivi,mara ya kwanza sikugeuka nikajua labda anamuita mtu mwingine,akaita tena nikasema majina yanafana tu,akaita...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Aina mbili za Wakristo (wasoma Biblia)

    Wakuu nimeona nishee nanyi kwa mfumo wa audio,huyu ni mmojawapo wa walimu wazuri sana hapa tz wa injili ya Kristo asieficha ukweli,unafki wala konakona na janjajanja.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Dog Lovers Special Thread

    Minyoo Hiyo. wanunulie dawa za vidonge kwenye duka la mifugo uwanyweshe direct kilazima au uwachanganyie kwenye chakula.ama utumie sindano wachomwe na vet au wewe mwenyewe kama ni mtundu wa hizo mambo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dunia ni uwanja wa vita za hatima

    Ngoja niwasaidie ambao wameshindwa kukipata kule telegram
  6. P

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Wewe ni Gnostic?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mimi niliimaliza yote.ni series kali imalizie yote. Haina huo ugomora kisa jina lake! Haizungumziwi sana sababu wengi washazoea vitu vinavyotrend kwa rates,za mataifa maarufu.ila series zenye mahadhi waitalia wana series kali,argentina,bulgaria,holland,belgium,germany,portugal,brazil nk kwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Njoo ununue pikipiki kwa bei chee

    Ushuru wake bei gani kuivusha bara?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kutokana na Neno,hasa baada ya kazi kamilifu ya msalaba. WAEFESO 6 : 10-18. Silaha ni 7 na zimegawanyika kwa makundi mawili. Kundi A(Silaha za Kujikinga/Kujihami) 1. Kweli 2. Dirii ya Haki 3. Injili ya Amani 4. Ngao ya Imani 5. Chepeo ya Wokovu Kundi B(Silaha za Kushambulia) 6. Upanga wa Roho...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Usomaji wa Maandiko ya kidini (Biblia)

    Neno linasema ktk 1 YOHANA 3:4 'Kila atendaye dhambi afanya uasi,kwakua dhambi ni uasi. Zingatia kabla ya Bwana Yesu kuja na kuiondoa dhambi,wanadam wote walikua ni wenye dhambi bila kujali umri wao so mtu anakua mwenye dhambi kwasababu amezaliwa ana dhambi sio kutenda. Tazama WARUMI 5:12-14...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Usomaji wa Maandiko ya kidini (Biblia)

    Inabidi upate ufahamu sahihi wa nini maana ya mwanadamu kua ndani ya Kristo na Kristo kua ndani ya mwanadamu(Kuokoka),ufahamu wa dhambi kwake,ufahamu wa haki nk(yaani mafundisho ya Kristo na kumfanania yeye maana ametuita tufanane nae) Sikiliza hizi audio chache,ya 3 ina jibu la huo mstari hapo...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

    Zitaje
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

    Huu ndio ukweli wa wazi usiopingika.hawa jamaa hawana mpinzani
  14. P

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Homeland niliikubali.alias na person of interest zilinishinda kabisaa toka mwanzo. Hiyo the spy sijaicheki ila inanitia uvivu fupi sana,naisubiri angalau watoe season ya pili
  15. P

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Aisee shukran sana nimetoka kuimaliziea THE AMERICANS hapa,hakika bando langu lilienda kiuhalali,ujasusi uliotukuka mno mle!
Back
Top Bottom