Recent content by Puree

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    Ha ha ha ha..
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msiwashangae wanawake wanapokuwa na vurugu kichwani….!

    Black is original
  3. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 alininyima tunda..sasa nimeoa mwingine ukoo wote umenichukia

    Usimtishe...alafu kama ka umri kako kameenda vilee
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wachaga waongo

    Ni kweli zinaitwa nduu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    Hamna jipya..ukikaangalia kwa makini haka ka uzi hakana mashiko vilee.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nataka nipate raha ya ukweli japo siku moja

    Umeshauriwa jinsi ya kula nanasi kwa nafasi...fuata ushauri utaona utam wake
  7. P

    JamiiForums Tanzania Yaani kukaa bila ajira ni noma, kwa muda mrefu

    Hao ndio wasomi wetu...akipata kazi anasaini na mikataba ya kimataifa
  8. P

    JamiiForums Tanzania ni ulimbukeni (UBOYA) kuwa na simu ya gharama.

    Sasa hivi utawafikia na wanaonunua magari na hata kiwanja hawana
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mengi akava jarida la Fobres Africa la July 2014

    Porojo mnazo na magazeti ya kibongo...sio hawa jamaa wa mbele
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwa staili hii CHADEMA kimeisha

    Watu wanashabikia vyama...wakati ugali unatafuta mwenyewe..hata akikaa mjomba ikulu bado tutakula kwa jasho tu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujizuia kuwa na mpenzi mmoja

    Tembelea hospitali alafu uwaone wagonjwa kuna kitu utajifunza
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mme

    Uko tayari kuzaa wengine wanne?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Baba Ikitokea UMEFARIKI tukukumbuke kwa lipi? Nimeumia sana

    Wanangu mnikumbuke kwa kumwoa mama yenu...maana sasa naona mnauza sura.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri leo interview PPF pale DUCE

    Itafika mahali watu wataanza kusimea ufundi ili wajiajiri..maana hali ishakuwa ngumu
Back
Top Bottom