JT2014
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,863
- 1,374
Hapa sikubali,kila kabila lina mazuri na mabaya yake,wakikusema kwamba unajidai watakutafuta kwa mengine k.v kat...^^
Yaani hata ingewezekana kubadili kabila, wengine wangebadili
^^
Hapa sikubali,kila kabila lina mazuri na mabaya yake,wakikusema kwamba unajidai watakutafuta kwa mengine k.v kat...^^
Yaani hata ingewezekana kubadili kabila, wengine wangebadili
^^
Hapa sikubali,kila kabila lina mazuri na mabaya yake,wakikusema kwamba unajidai watakutafuta kwa mengine k.v kat...
It easy to be white
Haya kakaa nikipata mwana wa kike ntaanza kukaambia kakiwa kadogo kwamba kako vizuri.
Mzazi ana nafasi kubwa sana ku-influence self image ya mtoto..Nashukuru Mungu tangu nilipokuwa mtoto my parents always told me am cute,..sikuelewa but it felt good since then,till now,na imenifanya nijikubali jinsi nilivyo tangu nikiwa mdogo sana...
Will do the same to my children..