Recent content by pupakwere

  1. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuacha kutumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo

    Si useme ukweli usaidiwe...mgonjwa hapo ni mzazi wako tena mstaafu,.. writing from experience
  2. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Another year and another blessing happy birthday to me

    Me too,it's my birthday....chaajabu nami Hali ya Corona Corona inanitesa...
  3. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Enzi za Dr Lubawa,..pia noti feki zimetembea sana pale TUICO
  4. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Kioja chako cha kushangaza ni kipi? Changu ni hiki nikiwa naenda JKT Mafinga

    Nimewahi kufungwa gerezani Iringa(sio police post) kwa kosa lisilo langu,yaani unakamatwa ghafla na mashahidi kabisa wanakuwepo mahakamani....nikatolewa usiku kwa remove order,..cha ajabu ile natoka tu getini prison nikakamatwa tena kwa tukio lililotokea Jana yake wakati usiku huo nilikuwa...
  5. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    ni aibu haswaa.... ni wazi option B zote zisingeuzika
  6. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Maandalizi Thabiti ya Uzee/mwisho wa mwisho

    hii ni heavyweight division. ...heshima kwa Taikon wa fasihi
  7. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa kidogo na hizi compressor za kuoshea magari!

    poa poa 0752341344 kaka
  8. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa kidogo na hizi compressor za kuoshea magari!

    mkuu ulifanikiwa?..mrejesho tafadhali
  9. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    inasikitisha sana,...ikiwa mchakato wa kuhamia ughaibuni ungekuwa rahisi basi vijana wengi sana wange'sepa' hii nchi ya viongozi wabinafsi...amini
  10. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    utamkaba nani hali ilivyo tete?.. sema tutakabana,
  11. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    sio rahisi hivyo mkuu,.ila sawa tutachunguza uwezekano sababu hali ni tete
  12. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

    m tupe mfano wa hiyo misitu free tukajifyekee tuepuke hizi 'chokochoko"
  13. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

    sasa hapo umedhihirisha/rekebisha nini?....umerudia yaleyale japo kwa maandishi mengi zaidi
  14. pupakwere

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Bulembo, kaufyata?

    binafsi nimekuelewa sana mkuu....heshima kwako&ubarikiwe.
Back
Top Bottom