Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Hata zingekuwepo. Bongo kwa kazi hio hio mtu atataka ufanye siku nzima akulipe 5,000/=??? Ni unyama ulioje yani umfanyishe mtu kazi masaa 12 halafu umlipe 5,000. Kazi nyingi za bongo ni level ya vibarua kimaslahi.

Ndio maana wao wanakomaa wawapachike watoto wao huko NSSF, NHIF, TRA, GSPA,TASAC,TRA,BOT n.k ambako mishahara ni ya kuridhisha ukiwa na kisomo chako. Kwanini wasiwapeleke kuosha masufuria hotelini kama ni kazi nzuri hizo?

Hapo hujala, familia haijala na nauli ya kesho unatakiwa uwahi kibaruani. Hivyo vibarua vya aina hio wenzetu wanaolipana laki na nusu mpaka laki 3 kwa siku wao wanaziita ajira. Ooh wawekezaji wameongezeka mtapata ajira muwekezaji wa kuja kukulipa 5,000 kwa kukutumia siku nzima?

Ulaya walau mtu atakulipa 5000 kila lisaa limoja...Masaa 12 ni elfu 60. Hakuna mtu ambaye angebaki mtaani kama kuna kazi ya aina hio.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ huyo ni motivational speaker achana nae tu mjomba
 
Soma nilichoandika uelewe kabla ya kukurupuka kujibu. Kazi za chini siyo lazima u housegirl na u houseboy au kusugua masufuria au kusafisha hotelini. Hata hizo kazi za kilimo na uvuvi zilizozungumzwa na Rais ni za chini. Sasa kama unalipwa laki 1 si ni bora kuliko kutokuwa na ajira? Ndiyo maisha hayo chochote ni bora kuliko kutokuwa na ajira. Vijana kutokuwa na ajira zozote hata zile ambazo unaona za chini ni hatari. Kumbuka "an idle mind is the devil's playground".
Dogo natumaini hang’over imeshakuisha.

Unapoona watu wanarogeana vyeo usione ni wapumbavu wale maslahi yana maana kubwa sana kwenye kazi. Ndio maana kazi ikitangazwa ya TRA, BOT, PSSSF wata apply mpaka wenye ajira binafsi. Huo uraisi tu watu wanafutiana uanachama na kufungana jela sababu kubwa sio cheo tu ni maslahi yanayokuja na cheo hicho.

Mwisho wa siku kila mtu anataka maisha mazuri kazini. Maisha mazuri kazini huwezi kuyapata kwa kupokea laki 1 kwa mwezi kamwe. Usitegemee utajenga wala kuoa kwa laki yako moja kwa mwezi sababu haitoshi kufanya lolote zaidi utakula kwa kupiga pass ndefu na kuua winga ili ubakiwe na nauli ya kuitafta laki mwezi ujao.

Hapo ndipo rushwa, ufisadi na dhana ya udokozi inapoibukia mkuu. Sasa kwa mfanyakazi wa ndani utadokoa vipi? Utaiba vijiko vya mwenye nyumba ukauze ama? Ila waliopo secta nzuri zenye mianya ya udokozi serikalini ndio wanaishi kwa rushwa kujitaftia laana zisizo na msingi kabisa. Huko ndio nafasi hazipatikani sikuhizi. Tunazidi kujazana mtaani tu af mtu anakuja na ngonjera za kazi zipo... ndio kazi zipo hata kufagia uwanja wa mama mwenye nyumba ni kazi ila anakulipa nani stahiki zako?
 
Matendo yako yakiwa ya kishetani utaitwa shetan tu hakuna namna
Kuna yule Iblis kuu tayar lishavuta bado hili makamu lake nalo lipo njian mana hakuna tena kutibiwa na yale mahela lukuk
Na wewe utavuta,hakuna atakayebaki..
Ni suala la muda na zamu.
Tena unajikuta uko motoni.
 
Hahahah kufa kupo tu tunafundishwa"Unatakiwa umuombe Mungu uongelewe vizuri baada ya kufa"
Co ha maiblid ambao walishiriki kuumiza binadamu wenzao na mmoja yupo jahannam nw huyu mwngne anaweweseka tu hana la kufanya
Na wewe utavuta,hakuna atakayebaki..
Ni suala la muda na zamu.
Tena unajikuta uko motoni.
 
Hahahah kufa kupo tu tunafundishwa"Unatakiwa umuombe Mungu uongelewe vizuri baada ya kufa"
Co ha maiblid ambao walishiriki kuumiza binadamu wenzao na mmoja yupo jahannam nw huyu mwngne anaweweseka tu hana la kufanya
Wewe kelele zako za kumuongelea mtu vibaya siyo kipimo cha hukumu ya Mungu.
Mungu siyo wewe Dullah..tulia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom