Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

Najaribu kukusoma mahala sikuelewi, unasema mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya dola 4765, then mwezi Dec 2021 tukaambiwa tena tuna akiba ya dola 6253, unapouliza mbona taarifa ya mwezi Juni 2021 hatukupewa unakuwa na maana gani?
Mkuu ni kipi ambacho hujaelewa hapo, mbona taarifa ipo wazi Sana.
 
Hivi mtoa Thread sijamuelewa, kwani tatizo hapo liko wapi? Ni namba ndio zinamchanganya au ni nini?

Najaribu kuichambua hotuba/taarifa ya mama kama ifuatavyo:
  • Mwezi wa sita 2021, taarifa ya mama inasema akiba ya pesa za kigeni ni dola bilioni 4765
  • Mwezi disemba (yaani baada ya miezi sita hivi) akiba ya pesa za kigeni ni dola bilioni 6253
Sasa kosa liko wapi kwa sababu akiba imeongezeka toka dola bilioni 4765 mpaka dola bilioni 6253 au ongezeko/tofauti ni dola bilioni 1488. Tupo pamoja jamani! Nisahihisheni nilipokosea.
Tatizo lipo kwenye hicho kiasi ni kikubwa mnoo
Dolla 4765 B ni sawa na Trillion elfu kumi miatisa themanini na nane.
 
Itakuwa hujui kusoma. Pole sana.
Dogo, Magufuli amekufaaa na ameshazikwa na kuoza. Rais ni Samia. Weka hili kwenye akili yako. Anaweza kulala na kuamka kusema naigawa Kinondoni iwe mikoa mitatu, hakuna atakayempinga. Amelala na kuamka kusema Kalemani nje na Makamba Waziri, ndo imetoka hiyo. Ukizingatia haya utapata utulivu wa moyo.
 
Labda alipotangaza alikuwa amevaa barakoa kwa hiyo figures hazikutoka sawa sawa. Sasa ikiwa TRA wamevunja rekodi za kukusanya na akiba ya forex ni nono kwa nini tunaendelea kukopa kila kukicha? Au hizi forex tulizoelezwa zimeletwa na hii Royal tour? Jamani msipinge ulizeni kwanza
 
Haupo sahihi kwa sababu hata akiletewa hutoba mezani anapaswa aipitie kwanza na ajiridhishe na figures ndipo apande hewani.

Kwa mtu wa kawaida ambae siyo hata Rais ukiona figure inasema kuwa akiba ya fedha za kigeni ni dola billioni 4765 lazima ushtuke,sembuse Rais?

Ukweli ni kwamba kuna kitu hakipo sawa nchini na huenda tunaongozwa na Serikali ya kipropaganda.

Kudai kuwa Rais anakosea kwa sababu anaandaliwa hotuba ni non-sense kwa sababu Rais anapaswa apitie hotuba yake na ajiridhishe nayo kabla hajapanda hewani.
sasa hapo umedhihirisha/rekebisha nini?....umerudia yaleyale japo kwa maandishi mengi zaidi
 
Back
Top Bottom