Recent content by Punnisher

  1. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Kweli mkuu sisi masikini tunaombea watu wapate shida
  2. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Wenye maabara za binadamu wanauza na dawa wakati leseni yao haiwaruhusu. Ni hatari kwa afya za watu

    Umasikini Wa kushika na mikono miwili ni shida sana
  3. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Magari ya Japan (Japanese used cars) za kununua 2026!

    Mimi sitaki kununua used tena ....nanyooka kwa wachina hapo bongo nichukue pure EV au range extended EV ..... Jamaa wanatoa warrant ndefu sana...
  4. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Huyu jamaa hafilisiki Leo Wala kesho Mimi siyo chawa wake.....siku hizi biashara kubea kwake ni pharmacy hata Robby one anauza dawa sikuhizi
  5. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Sajili domain yako ya .com sasa kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka.

    Ya .co.tz inakuwa bei gani
  6. Punnisher

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakazi kuiba

    Mkuu hapo kwenye receipts za TRA and barcode umemaliza...nitanunua mfumo
  7. Punnisher

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakazi kuiba

    Mkuu mfumo umeunganishwa na TRA au inafaa... UNATOA DELIVERY REPORT,INVOICE,ESTIMATES ETC UTUTAJIE NA BEI ....KUNA MMOJA WA MAMBELE NALIPIA ELFU 40 KWA MWAKA NA UPO FRESH NATAKA NIKUINUE MTANZANIA MWENZANGU
  8. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Hivi dume Zima unakaaje kwenye nyumba ya kupanga hata chumba kimoja kimekushinda

    Kupanga ni rahisi...na ndiyo njia ya kuwa tajiri
  9. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

    Wewe nenda hospital......muone dentist ...... Yote yanayosemwa hapo juu hayatakusaidia.
  10. Punnisher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

    siyo lazima uolewe.....wewe kula maisha tu....utanishukuru
  11. Punnisher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzetu mnawezaje kuishi decent life?

    Tafuta pisi kali yenye akili....kidogo tu.....umemaliza
  12. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Iran waliodaiwa kufa wamedaiwa kuonekana kwenye sherehe Tehran!!

    Kwamba jamaa wanafake amefarikinkwenye shambulio ili wakiamshe vizuri ...got you
  13. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    Nataka software ya Bure inayowrza kigsnya stock,kutoa invoice,delivery report na we quotations thanks
  14. Punnisher

    JamiiForums Tanzania Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

    Huyu jamaa ..si mwanahatakati..... Rip dr
Back
Top Bottom