Recent content by Pumzi

  1. Pumzi

    Hii ishu ya Monii wa Central Zone na Roma iko vipi?

    nashukuru snaaaa kaka
  2. Pumzi

    Hii ishu ya Monii wa Central Zone na Roma iko vipi?

    kumbe ndio kilichomfanya monii amaindi??
  3. Pumzi

    Hii ishu ya Monii wa Central Zone na Roma iko vipi?

    Wengi wetu naamini mnajua kwa kina jinsi monii na Roma walivyokuwa washikaji..Na hata lile tukio la kutekwa walitekwa wote..... Sasa shida imekuja baada ya kurudi uraiani wamekua sio washikaji tena Je, kuna nini kati yao hapa wadau???
  4. Pumzi

    Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

    kama sio kiki..itakua sio poa dogo bado ana ndoa,changa sanaaa
  5. Pumzi

    Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Kwanini lowasa hapendi kuvaa sare za chama chake cha chadema???
  6. Pumzi

    CHADEMA: Shukrani kwa Umma kutusikiliza

    kwann Edward L havai sare zenu
  7. Pumzi

    J Cole again

    Msaniii hatari zaidi wa hip hop duniani J COLE soon ataachia album yake kali inayokwenda kwa jina la 4 your eyes only stay tunned..
  8. Pumzi

    Wako wapi watu hawa? Jamii inawamiss sana

    Alibakwa na nani mkuu? Hebu tudadavulie kidogo
  9. Pumzi

    Msaada, mpenzi wangu anatoka damu nyingi akiwa kwenye siku zake

    Ninampenzi wngu leo ni siku ya tano mfululizo anaingia period ila kinachonisababisha niombe ushauri damu inatoka nyingiiiii sana kuliko miaka yote.,je ili ni tatizo gani waungwana? Naombeni msaada
  10. Pumzi

    Tupeane ujuzi katika hili jambo

    Dildos ndo nn aiseee
  11. Pumzi

    Tupeane ujuzi katika hili jambo

    Hebu nipe hzo sababu ndio nazozihitaji hasaa
  12. Pumzi

    Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Uwa najiuliza waume zenu hawapitiii humu hizi bandiko zenu? Na je hawana marafiki ndugu majirani waliomo humu wakapeleka taarifa kwa wahusika? Au uwa mnatunga habari? Mnapata wapi hz confidence??
Back
Top Bottom