CHADEMA: Shukrani kwa Umma kutusikiliza

CHADEMA: Shukrani kwa Umma kutusikiliza

Nakubaliana na hoja yako kwahiyo tuwe nasubira tuone kama Rais Uhuru Kenyatta atakubali matokeo ya uchaguzi mkuu August 2017
Mkikuyu akubali kumuachia mjaluo???? Anyway Ila unajua kumtoa incumbent president ilivyokuwa ngumu.... NASA watashinda ila uhuru kenyatta lazma atatangazwa mshindi qa kiti cha u-Rais!!!!
 
Mkikuyu akubali kumuachia mjaluo???? Anyway Ila unajua kumtoa incumbent president ilivyokuwa ngumu.... NASA watashinda ila uhuru kenyatta lazma atatangazwa mshindi qa kiti cha u-Rais!!!!
Kwahiyo mkuu Chadema itafurahia na kuunga mkono ikiwa Uhuru Kenyatta atapora kura.
 
Huyu derava wa lorry akiendeleza huu upuuz wa kupenda sifa za kijinga 2020 upinzan hawatakuwa na haja ya kupiga kampen wanaweza kuingia kwny uchaguz hvyohvyo na kishinda hawa jamaa wanachosha mnoo kila siku drama mpya huku maisha kwetu yanazid kuwa magum kila uchao
Si ndio vizuri au? Kama unalalamika asifanye huo ujinga
 
mwanasiasa anahitaji kujua kusoma na kuandika tu hakuna kuremba hayo mengime yako hayatuhusu
Yaani Chadema Ina Watu ambao wanashindwa hata Kutumia Microsoft Word?

Hebu Cheki hapo hata Ku justify wameshindwa mistari Ipo kushoto na
Kulia

Chadema hayajui Paragraph zinazoandikwa kwa Computer hauitaji kuingia Ndani Ili Uanze Paragraph!

Daaah Chama Limejaa wajinga.
 
Chadema wameishiwa kwa sbb inaonyesha kabisa wakiingia ikulu watang'ang'ania hawatakubali kubadirishana kama ccm kwa imeonyesha kwa mwenyekiti wao mbowe kwa nn hataki kumpa mwingine awe mwenyekiti?
 
Kwahiyo mkuu Chadema itafurahia na kuunga mkono ikiwa Uhuru Kenyatta atapora kura.
Mkuu sovereignity ya nchi lazima iheshimiwe ndio maana hta kma wapinzani wa tanzania waliona wamepora kura still uhuru alimpa pongezi magufuli hivyo naamini kila mtu ataheshim sovereignity ya kenya wenyewe ndio watadetermine kura zimeibiwa or not na mahakamani wanaruhusiwa kwenda hivo atakayetangazwa mshindi hatuna budi kumuunga mkono maana ndio itakuwa uhalisia
 
Chadema wameishiwa kwa sbb inaonyesha kabisa wakiingia ikulu watang'ang'ania hawatakubali kubadirishana kama ccm kwa imeonyesha kwa mwenyekiti wao mbowe kwa nn hataki kumpa mwingine awe mwenyekiti?
Aseeeee kma huyo mbowe angekuwa na tamaa sana na ikulu si angekuwa mgombea urais wa kudumu chadema !!! Ila kma hajawahi kurudia kugombea unatoa wapi base yakusema chadema ingeng'ang'ania Ikulu???
 
Yaani Chadema Ina Watu ambao wanashindwa hata Kutumia Microsoft Word?

Hebu Cheki hapo hata Ku justify wameshindwa mistari Ipo kushoto na
Kulia

Chadema hayajui Paragraph zinazoandikwa kwa Computer hauitaji kuingia Ndani Ili Uanze Paragraph!

Daaah Chama Limejaa wajinga.
Acha kukariri wewe
 
Acha kukariri wewe
Msukule Huwezi jua Una haki ya Kupinga siyo Kukubali Kila Kitu cha Mbowe Line haziko Justified hizi ni Kanuni za Kiundishi Duniani
IMG_20170528_212610_720.jpg
 
Nafikiri tutafute mwandishi mwenye weredi zaidi. Barua ina makosa mengi ya kiuandishi na ya kisarufi. Mfano!
1. "Sababu yeyote" si sawa yeyote ni kwa binadamu
2. Barua haioneshi imeandikwa au kutolewa lini. Kwa hiyo mtu makini anaweza asiisome akidhani ni ya mwaka juzi wakati dokta slaa yupo.
Makosa hayo na mengineyo mengi hayapaswi kuwepo kwenye andiko la taasisi kubwa kama CHADEMA
 
Kati ya mwaka ambao chadema ingechukua dola ni 2015 lakini baada ya hapo zitakuwa ni hadithi tu na hivi sera ya ufisadi haitamkwi tena kwenye kinywa chao...!!!
 
Back
Top Bottom