Nenda Hospitali ila Kama Ameshawahi Kutumia Pia Vidonge vya Kutoa Mimba ni Vyema Ukajua...Ninampenzi wngu leo ni siku ya tano mfululizo anaingia period ila kinachonisababisha niombe ushauri damu inatoka nyingiiiii sana kuliko miaka yote.,je ili ni tatizo gani waungwana? Naombeni msaada