Recent content by Pumzi Ya Uhai aka PYU

  1. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    TRA waangalie pia kanisa Katoliki na mengine ambayo ni tajiri sana baada ya Kakobe

    Namuona kakobe kama shujaa Mkubwa aliyeanzisha kazi yake/ ministery na ikawa na uwezo kwa kusimama Tanzania nzima na nje ya Tanzania,nitamsifia kakobe sana kuliko Catholic sbb ni system iliyowekwa na watu ambao hatujawaona kwa macho, kama makanisa yangekuwa viwanda,basi kakobe ni mjasiliamali...
  2. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Cheo kipi ni kikubwa kati ya Balozi na Director General

    Hivi ni kweli mshahara wake hauwezi shuka,nimesikia kuwa kuna level ukifika serikalini mshahara uwa haushuki hata kama umeshushwa cheo,jibu la uhakika please wadau
  3. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

    Naona kama wote mnaongea kama story za kusadikika,ukweli ni kwamba hakuna mwenye nguvu kuifuta israel isipokuwa mola tu.
  4. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

    Mkurungezi kwa hapa Tanzania anaitwa Atukuzwe Nkya,ongea naye kwa simu yake moja kwa moja kwa wale mlioko dar,atakuwa hapo kuanzia kesho kwani kwa sasa yuko njiani kuja kwenu dar,0767598080, 0717598080
  5. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Mwanajeshi wa kike aliyepambana na magaidi waliovamia Kambi ya Jeshi apewa nishani ya ushupavu

    uwa hakuna njia nyingine ya kuvisha hizo nishani,sababu mimi siwezi ruhusu mke wangu ashikwe hivyo
  6. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Sakata la Gwajima: Serikali inapoamua kukumaliza

    kazi ya kanisa ni kueneza injili hayo mengine ni ziada tu,sio wito wa wakristo,mathayo 28:20 na kuendelea
  7. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Hili la Kenya, UDOM mna la kujifunza

    Rais ajaye aondoshe hijabu katika shule za umma
  8. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Ngereja, katubu kwa Kakobe tafadhali

    Hajamkosea mungu amewakosea watoto wa mungu,wenye mamlaka ya kufunga na kufungua
  9. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Mjengo wa Drogba Noma Sana

    Ufahali wa bure tu,nyumba ka hotel,uenda anafuga majini
  10. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Mke wa mchungaji ananitaka

    Kwenye namba yake ya simu futa jina ulilosave na andika jina jipya nalo ni SHETANI WA KIKE,ili kila akipiga umkee vizuri shindwa pepo la uzinzi,na siku ukifanya hicho kitendo jua ndio mwanzo na mwisho waka kimaisha,u will never make any progress in your life,because she is the wife of anointed...
  11. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Toyota rv4 inatafutwa inayouzwa

    Ya arusha piga 0755069254
  12. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    Toyota rv4 inatafutwa inayouzwa

    Ipo arusha ya kijan na utepe mweusi,
  13. Pumzi Ya Uhai aka PYU

    ISIS beheads American journalist

    Kumbe ni walowezi wa magharibi wenye asili ya uarabuni,hiyo ni njia mpya wanayotumia waarabu ili kuaminisha watu kuwa hao vijana ni raia wa ulaya au marekani,mtu kamwe haachi asili yake hata kama atavuka mipaka.
Back
Top Bottom