Kama inavyo fahamika Afrika mashariki UDOM ndio chuo kikubwa. Lakini nina mashaka na ulizi wa hiki chuo, kuna get kubwa moja tu ambalo unapo ingia hukaguliwi ila unapo toka ndio unakaguliwa, hii ina maana kwamba ulizi uliopo ni kwa ajili ya kuzuia uwizi tu na ndio maana wanakagua unapo toka tu na kuzuia uvamizi wa ugaidi haupo maana wanapo ingia hawakaguliwi afu kuna vichochoro vingi vya kuingia hapo chuoni bila ulizi. Wito wangu kwa Serikali liangalieni hili kwa umakini sana.
Huo ndio uchangiaji wangu kwa hili. Magaidi ni wajanja sana, huko Kenya walisemekana watavamia Nairobi University ama Kenyatta. Kwa bahati mbaya sana wanausalama wa Kenya wakawa wamejikita kwenye maeneo hayo wakasahau sehemu kama Garissa, matokeo yake wameenda Garissa na kusababisha mauaji ya kutisha. Ni vyema kama nchi tukawa macho kila eneo, tukawa makini sana. Huwa mimi nasikitishwa kusikia wahamiaji haramu 100 wamekamatiwa Dodoma ama hata Mbeya. Hii inaonyesha hatuko makini mipakani pia. Haiwezekani watu watembee maelfu ya kilomita bila vyombo vyetu kuwaona.
Tuna sikukuu hizi za pasaka, ni vyema vyombo vyetu vikawa makini pia. Kwa hiyo si UDOM peke yake. Suala la ulinzi ni mtambuka.
Mnang'ang'ana na vitu visivyo katika mada, umeshaelewa changia, sasa wewe unabadilisha mada. Ata ndani ya tz mmakonde hatamki kama mchaga au msukuma, shida iko wapi hapo!
Nina mashaka na wewe,neno "hata" wewe umeandika"Ata" bila shaka wewe pia ni mhamiaji haramu
Tatizo hapa kubwa ni hekaya,ngano na fiski za muddy
Nawe ni mtanzania au ulikuja soma maana lugha yako ni ya kujifunzia ukubwani
Rais ajaye aondoshe hijabu katika shule za umma
Wewe tatizo lako nini? Mleta mada ameeleweka anakusudia nini wewe unaleta utoto!! Halafu siku hicho chuo kikivamiwa nyie ndio huwa wa kwanza kulaumu Serikali kuwa Chuo hakikuwa na ulinzi wa kutosha!!
Huna cha kuchangia piga kimya acha kujidharaulisha Mkuu!!
Kama inavyo fahamika Afrika mashariki UDOM ndio chuo kikubwa. Lakini nina mashaka na ulizi wa hiki chuo, kuna get kubwa moja tu ambalo unapo ingia hukaguliwi ila unapo toka ndio unakaguliwa, hii ina maana kwamba ulizi uliopo ni kwa ajili ya kuzuia uwizi tu na ndio maana wanakagua unapo toka tu na kuzuia uvamizi wa ugaidi haupo maana wanapo ingia hawakaguliwi afu kuna vichochoro vingi vya kuingia hapo chuoni bila ulinzi. Wito wangu kwa Serikali liangalieni hili kwa umakini sana.
Huyu jamaa amefikaje chuo kikuu kwa lugha chafuzi kama hiyo! Kama umetumwa wambie udom hakuna hawawezi... Kiukweli utanzania wako una mashaka