ISIS beheads American journalist

ISIS beheads American journalist

Ushetani hauna dini wala dhehebu.....shetani ni universal,na agenda zake yeye huwa hajali ni nani anatekeleza,cha msingi zimetekelezwa.

Ugaidi ni ushetani ambao mwisho wa siku dunia tutajuta na tunazidi kujuta!.Lakiniiii mwisho wake upo tu,hebu sote kwa imani zetu na tumuombe Mwenyezi-Mungu dhidi ya hila hizi!
 
Chanzo cha Ugaidi Duniani ni kuwa watu hawapati haki zao na dhulma zimezidi.

Wanabadiliswa majina tu, magaidi, wachochezi na kama hayo lakini nini chanzo hakisemwi wazi!!!!????
Dini imeingizwa sasa ili kuweza kuchanganya zaidi waliokubali kuamini dini moja kwa moja!!!
 
Marekani na Washiriki wake ndio chanzo cha kuibuka kwa vikundi vya kigaidi...they are just playing "Hide and seek game"
 
Elite US military forces secretly invaded Syria recently in a risky and ultimately unsuccessful attempt to free an American journalist, James Foley, before he was killed by militants with the Islamic State (Isis), the Pentagon announced on Wednesday.

Confirmation of the failed night-time raid, which took place earlier this summer, came after a day of sharp questioning over whether the Obama administration had done enough to save Foley's life.

It represented the first confirmation of US military operations within insurgency-wracked Syria, where Isis gestated into the jihadist organization that has redrawn the borders of the Middle East.

The raid involved dozens of special operations forces from all US military services, including the 160th special operations aviation regiment. US forces flew into Syria in defiance of air defence batteries that senior military officials have described as highly threatening to pilots.

Modified Black Hawk helicopters were involved, and "armed fixed-wing aircraft and drones" provided cover to forces on the ground, said an administration official. Yet the operation, which took place in an area of Syria that Obama administration officials declined to disclose, failed when "the hostages were not present at the targeted location," said rear admiral John Kirby, the Pentagon press secretary.

Special operations forces got into a "firefight" with Isis forces, an official said, killing "several" of them. It took an unspecified amount of time for them to determine that the hostages were not on the scene, prompting a rapid departure.

"They were shot at as they were egressing. One person had a minor injury," the official said. The official said that Isis "did not know who they were fighting that night, and we assess Syria did not know" about the secret incursion. It is unclear how many hostages the elite troops, which Kirby called "the best of the United States military," attempted to free.

At least one other American journalist, Steven Sotloff, is known to be in Isis custody. Disclosure of the unsuccessful operation may have consequences for Sotloff, whom Isis has threatened to kill unless the US ends its bombing campaign against it.

US officials said on Wednesday there was concern about Sotloff after he appeared in the same Isis propaganda video depicting Foley's murder. US warplanes struck Isis vehicles and weaponry near the Mosul dam on Wednesday in tacit defiance of the Isis threat.

With Sotloff's fate an open question, Kirby said in a statement: "The United States will not tolerate the abduction of our people, and will work tirelessly to secure the safety of our citizens and to hold their captors accountable." White House counter-terrorism adviser Lisa Monaco added: "Our thoughts and prayers are with the remaining hostages' families and their loved ones during this difficult time." It is also unclear whether the intelligence on the hostages' location was fundamentally flawed or perishable by the time of the raid.

Monaco said the US had "what we believed to be sufficient intelligence" justifying the strike. Robert Caruso, a navy intelligence veteran, said Isis and similar organizations "lie about where they are, where they're going to be in two hours, and they definitely don't talk about it on the telephone." Caruso also questioned the wisdom of releasing information about the raid.

"It's pretty cavalier for the administration to condemn Snowden and turn around and endanger the remaining hostages. That's not Opsec [operational security]. I've taught it, to the military and the state department. That's not Opsec," he said. The US official, who was not cleared to speak for the record, acknowledged the risk of the disclosure to Satloff.

"There is concern that releasing this jeopardises the hostages that remain, but a number of news outlets got ahold of these details and were going to run with this story," the official said, saying that the administration was withholding significant details.


SOURCE: Diaal news
 
They should have asked for Israel's assistance - the rescue mission would have succeeded.
 
Kifo cha huyu mwandishi kinasikitisha sana .............Fr.James Martin,SJ ameandika haya kuhusu mwandishi huyu ......


May James Foley rest in peace and pray for us. Here is this brave journalist, who was apparently beheaded by ISIS, writing on how prayer sustained him during an earlier captivity. A graduate of Marquette University, he writes in the university's alumni magazine: "If nothing else, prayer was the glue that enabled my freedom, an inner freedom first and later the miracle of being released during a war in which the regime had no real incentive to free us. It didn't make sense, but faith did."
 
ndg naona unatudanganya siamini kama huyo john ambaye ni eti mkristo anachinja mwandishi au anapigana upande wa ISIS ili kusimamisha dola ya kiislam nnavyojua mimi huyo ni mwingereza mwislam anachofanya ni jihad kulingana na mafundisho ya dini yake kulazimisha watu wawe waislam kwa ncha ya upanga.
 
Are you sure? Ina maana wanapigana naye bega kwa bega, mwisho wa siku wamemjengea kakanisa na yeye anakwenda kuabudu wakati wao wanakwenda msikitini?!

Ningumu kuelewa kama anapigania imani yake au siasa anazoziamini.
 
Haya ni maoni ya Pope Francis kuhusu Marekani kuanza kuwalipua ISIS alipohojiwa ........


On his return flight to Rome from his Apostolic Journey to Korea, Pope Francis answered reporters questions. One question was concerning the use of force against the Islamic group ISIS in Iraq. The following is a Vatican approved translation of the exchange:

Q. You know that recently the US forces have started bombing the terrorists in Iraq, to prevent a genocide, to protect minorities, including Catholics who are under your guidance. My question is this: do you approve the American bombing?

A. Thanks for such a clear question. In these cases where there is an unjust aggression, I can only say this: it is licit to stop the unjust aggressor. I underline the verb: stop. I do not say bomb, make war, I say stop by some means. With what means can they be stopped? These have to be evaluated. To stop the unjust aggressor is licit.

But we must also have memory. How many times under this excuse of stopping an unjust aggressor the powers (that intervened) have taken control of peoples, and have made a true war of conquest.

One nation alone cannot judge how to stop an unjust aggressor. After the Second World War there was the idea of the United Nations. It is there that this should be discussed. Is there an unjust aggressor? It would seem there is. How do we stop him? Only that, nothing more.

Secondly (you mentioned the minorities. Thanks for that word because they talk to me about the Christians, the poor Christians. It's true, they suffer. The martyrs, there are many martyrs. But here there are men and women, religious minorities, not all of them Christian, and they are all equal before God.

To stop the unjust aggressor is a right that humanity has, but it is also a right that the aggressor has to be stopped so that he does not do evil.
 
Chanzo cha Ugaidi Duniani ni kuwa watu hawapati haki zao na dhulma zimezidi.

Hii kauli yako imenifikirisha sana....Ila najiuliza, sasa kama umeikosa haki sehemu A, kwa nini ukadhuru watu wa sehemu C? Na je, kwa madhara hayo ile haki inapatikana?

Kwa kweli, mimi binafsi, huwa naumizwa sana na hizi hekaheka tunazozisikia zikiendelea kwenye nchi mbali mbali huko duniani. Bado ninaamini kuwa watu wenyewe wanaohusika moja kwa moja ndio wenye nafasi ya kusema, sasa basi imetosha.
 
Unaweza kuikosa haki kutoka huko sehemu C na sio A
Ni kama Marekani anapotoka thousands miles na kwenda kudhuru na kuuwa watu wasio na hatia hasa Middle east,usifikiri haki kutokupata haki ni humo humo nchini mwako tu!!
 
Naona Obama middle east inataka kumshinda kila siku anavurunda...

Sasa ameanza ku-risk maisha ya Raia wake huko na hii yote ni sababu ya kuchelewa kudeal na hao wanyama...
 
Wakuu habari zenu,
Naomba wale ambao mawazo yao hayafungamani na imani yoyote tujadili hili jambo na pengine tupate kujifunza kitu kama si vitu.

Wengi wetu hapa jamvini mnatambua kuchinjwa mwandishi wa kujitegemea raia wa Marekani JIM FOLEY nchini Iraq. Cha kushangaza zaidi ni kuwa alitekeleza kitendo hiki ni raia wa Waingereza ambaye ni mpiganaji wa kundi la ISIS anayetambulika kwa jina la john ambaye ni mkazi wa London.

Mauaji ya West nchini kenya tuliambiwa kulikuwa na raia wa mataifa mbalimbali ya magharibi wakiwakirisha Alshabab, Je dunia itashinda hii vita ya ugaidi? Boko haram Nigeria wameendelea kufanya kila wanachotaka wanaua wanayetaka, wanateka wanayetaka. Leo hii wasichana zaidi ya 200 kutoko jimbo la Bono huko Maidugul wanashiliwa, pia juzi zaidi ya vijana 90 walitekwa na kuchukuliwa. Kama haitoshi mke wa naibu waziri mkuu wa Cameroon na mtoto wa chief wa jimbo moja huko Cameroon wako mikononi wa hawa jamaa.

Wote tumesikia Vijana wa Kitanzia waliokamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Alshabab. Nihitimishe kwa kusema naiona dunia kama siyo mahali salama tena, kama dunia siyo salama Tanzania haiko salama pia. Najua wengi wengi mnatakuja na hoja zile zile za udini lakini tukumbuke hakuna aliye salama siyo Mkristu,muislam ama mpagani aliyesalama.

Tunamuona John anamchinja Jim kwa haraka haraka tutasema wote ni wakristu, na ikiwa ndivo tatizo liko wapi? Nina mengi ya kuandika lakini ngoja niachie hapo, ili kupata mchango ya wadau.

Hapa ni baadhi ya Waingereza walioko Iraq na Syria


Source
:telegraph

Kumbe ni walowezi wa magharibi wenye asili ya uarabuni,hiyo ni njia mpya wanayotumia waarabu ili kuaminisha watu kuwa hao vijana ni raia wa ulaya au marekani,mtu kamwe haachi asili yake hata kama atavuka mipaka.
 
Mleta mada mbona huwalaani wayahudi waliyemteka nyara mungu wetu badae wakampa makofi na kumtundika msalabani baada ya kumla GOTI
Yani kuna ule msemo unasema binadamu kapewa akili kuliko mnyama, lakini kwa wakristo mnyama kapewa akili kuliko binadamu. Vipi mtu afananishe MUngu na binadamu hahaha.

رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ (البقرة 201 ) Mola wetu Mlezi, tupe duniani mema, na Akhera mema, na utulinde na adhabu ya Moto (Al-Baqara 201)
 
Ukristo siyo jina wala dini. Ni mfumo wa maisha na imani. Mtu akishakuwa Muislam, hata kama atabaki na jina la John ahijalishi ana uraia wa Uingereza ama nchi gani, huyo si Mkristo tena. Ni muislam.

Kama aliyechinja mwandishi wa Kimarekani wa kujitegemea ndiye alikuwa anaitwa John, John ni jina lakini si Mkristo. Alisema yeye ni Islamic State chini ya Caliph, na alichinja akitetea uislam. Kwa hiyo suala hapa siyo uingereza, wala jina. Tatizo ni imani ya uislam ambayo inafundisha na kuhamasisha mauaji.

Alipokuwa John Mkristo, hakuchinja watu. Alipobadili dini na kuwa muislam, hata bila kubadili uraia, akaanza kuchinja watu. Kwa hiyo kinachofanya watu hawa wachinje binadamu kinyama ni mafundisho ya dini ya kiislam.

ni mkristo?!
 
Tuache porojo, ukweli utabaki na utasimama kwamba haya mafundisho na hadithi za huyu binadam ndo zinqqatuweka kwenye hii hatari tunayoiona hapa duniani. Vijana wote wanaosafiri kutoka England kwenda kujitoa muhanga wote ni wa mrengo Wa Muddy! Dunia siyo salama tena kutokana na huyo zombie, moto na umwunguze sawasawa huko aliko!.
 
Back
Top Bottom