Mimi nipo 35 Sina mpenzi, Sina mtoto, Sina mke na Wala sijisikii vibaya ila Nina hela. Afya yangu ya kimwili ipo vizuri kabisa ila maisha Yana mambo mengi sana, Kuna watu mapenzi yalitujeruhi sana kiasi ambacho tumekuwa waoga mno wa kurudi tuliyoyapitia.
Uliwahi kusikia ulaya wamempa mtu madaraka makubwa serikalini mtu aliyetokea familia maskini? unajua kwa nini? Umaskini unaanzia kwenye akili (mentality), maskini nahisi umiliki wa vitu vingi ni ufahari bila kuwaza mipango na kuviendeleza kwa sababu tu, familia yake haikuwa kuvimiliki hapo...
Ni wiki sasa, tangu nimeamua kwa dhati. Kuacha pombe kutokana na pombe inavyonipeleka pabaya na kuharibu maisha yangu..matokeo yake usiku nikilala napata ndoto mbaya za kutisha na kutia hofu halafu chanzo ni pombe, na sio ndoto moja kila nikitustuka nikilala tena inakuja nyingine na kisa kingine...
Nilijifunza nini baada ya karibu kuingia kwenye tatizo kubwa?
Nataka kushirikisha jambo lililonitokea, si kwa ajili ya kulaumu mtu yeyote, bali labda linaweza kumsaidia mtu mwingine ambaye amewahi kujikuta kwenye hali kama hii.
Mimi ni mtu ninayependa kusocialize. Ninaamini sehemu kama baa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.