Nani Mwingine hasira humweka pabaya kunizidi?

Endelea kudhibiti hasira
Kadri ukiendelea Hali itakaa sawa
Emotional body can be trained..
 
Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.

Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.

Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.

Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
Upo kwenye right truck kama umeweza kugundua udhaifu wako sasa endelea kutafuta suluhisho.
 
Mkuu technically una historia mbaya sana. You need therapy one on one.
 
Habari zenu ndugu zangu natumai mko poa. Kuna jambo, huwa linaumiza sana acha niwashirkishe ndugu zangu.

Kuna wakati, naweza nikawa na mazungumzo na mtu aidha tumekwazana katika jambo fulani, aidha kibiashara, kijamii, kimahusiano n.k, naweza kuta nina hoja za msingi sana, bila matusi, kejeli wala dharau naweza kumweleza mtu huyo na akanielewa na mambo yakakaa sawa na tukaendelea kuheshimiana kama kawaida.

Tatizo linakuja pale ninapofika kwenye field (Yani ninapokutana na muhusika) anaweza akaongea neno likaniumiza hasira ulipuka na kujikuta nazungumza nisivyokusudia, na mara nyingi sizungumzi vitu vya msingi nilivyokusudia matokeo yake badala ya kuweka mambo sawa, ndio nazidi kuharibu.

Baadae akili ikutulia ndio naanza kujilaumu kwa nini, nilishindwa kudhibiti hasira zangu lkn inakuwa too late
Mkuu usiruhusu hisia zikutawale. Hasa strong emotion huwa hazina matokeo chanya zikikutawala.
Ukiona unashindwa kujizuia jaribu kung’ata ulimi hii ni trick itakusaidia.
Ukihitaji msaada zaidi unaweza nicheki.
 
SPACE
Kuna kitu kinaitwa space/uwazi/nafasi inayokuepo baina ya objects
Hata nyumbani kwako kukiwa na space between objects mazingira yanapendeza na mawazo yanakua na mpangilio mzuri
Kitu hicho hicho kinahitajika kwenye mind between events
Mind haiwezi kufanya kazi bila space
Mtu akikuchanganya pause breath kisha ndio ufanye maamuzi au kuongea

Space
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom