Salaam wana JF
Angalizo dogo kwa wana mageuzi.
CCM wanaihujumu CHADEMA kwenye level ya juu zaidi kuliko CHADEMA wanavyofikiria. Inaonekana intelijensia ya CHADEMA inai- underestimate intelijensia ya CCM, kitu ambacho si sahihi, na kinaweza kuigharimu CHADEMA.
Inavyoonekana CCM ina watu ndani...