Taulo la hotel

Taulo la hotel

Kutokana na mada moja iliyotangulia hapoawali kutumia neno taulo la hoteli limeleta mjadala mrefu,sasa je taulo la hotel lina sifa zipi,au lina ubaya gani?
Halafu cha kushangaza hujamuita lara1 taulo la hoteli, umesema atakaye muoa lara1 atakuwa na kazi kama taulo la hoteli, lakini watu wanang'ang'ania umemuita lara1 taulo la hoteli.
 
hivi wewe mkizi ulimwita mwenzio taualo la hotel ulimaanisha nini??
basi mimi nakuita wewe mkizi ni TAULO LA HOTELI.

Ticha achana na wanaume kama mabinti! WAMESHA MHARIBU SIKU NYINGI WENZIE ndo maana mawazo yake ya KIKE KIKE MDA WOTE!!!!!!!!!!!

Imebaki kumuombea tu! Mwenzetu huyo!
 
Halafu cha kushangaza hujamuita lara1 taulo la hoteli, umesema atakaye muoa lara1 atakuwa na kazi kama taulo la hoteli, lakini watu wanang'ang'ania umemuita lara1 taulo la hoteli.

Acha ushabiki wa kijinga!!!!!!!!!!
 
Akipungiwa nae anapungaaaaa!!!!!!!

Uwezo huoashaupoteza siku nyingi! Kabakia kuanzisha thread JF tu!!!!!!!!!! Kwisha habari yake! Aleleleeeeeeeeeee! Mlisema haolewi na atolewa mwaka huu shoga yetu!
 
Asante

nakala ya post kama ilivyo hii hapa chini. sijui mmejifunza kusomea wapi.
je wafikiri kauli hii ni sahihi??
huwez ukasema mume wa mtu atakuwa taulo la hotel so far nikisema mke utakaye muoa atakuwa na kazi kama taualo la hoteli utaona sahih??
 
Uwezo huoashaupoteza siku nyingi! Kabakia kuanzisha thread JF tu!!!!!!!!!! Kwisha habari yake! Aleleleeeeeeeeeee! Mlisema haolewi na atolewa mwaka huu shoga yetu!

Mmmh! What?
 
je wafikiri kauli hii ni sahihi??
huwez ukasema mume wa mtu atakuwa taulo la hotel so far nikisema mke utakaye muoa atakuwa kama taulo la hoteli utaona sahih??

That's why you are and still will be the great teacher
 
Kwakweli mataulo ya hoteli si salama huwa nafutia miguu nikitoka kuoga na pia kufutia majimaji kitandani. Baada ya tendo na wakati mwingine nafutia vumbi viatu.lala salama ma hotelini nenda na Taylo lako utaumiaaa
 
je wafikiri kauli hii ni sahihi??
huwez ukasema mume wa mtu atakuwa taulo la hotel so far nikisema mke utakaye muoa atakuwa na kazi kama taualo la hoteli utaona sahih??
kwanza,hakuna mtu aliyeambiwa atakuwa taulo la hoteli kwenye hiyo post. Isipokuwa atakuwa na kazi kama taulo la hotel. Hapo inategemea tafsiri yako ya neno hoteli.

Ukisema mke nitakayemuoa atakuwa na kazi kama taulo la hotel ninaweza kuona ni sahihi kulingana na tafsiri yangu ya neno hoteli. Kwa mfano, kabla sijaondoka huko 15yrs ago, majority ya wabongo walikuwa wanatafsiri hoteli kama sehemu ya kwenda kunywa chai na kula chakula, na kuna biashara nyingi sana zilikuwa zinaitwa hoteli na zilikuwa hazina vyumba vya kulala wageni. Kwa tafsiri hiyo ni kwamba taulo la hoteli linatumika kufuta meza na mengine kufuta mikono, kutokana na wingi wa wateja hayo mataulo yanakuwa bize mno. Kwa hiyo mtu akisema nitakuwa na kazi kama taulo la hoteli kwa mantiki hiyo nitaelewa kuwa nitakuwa bize mno kwa sababu fulanifulani.
Hii ni baadhi tu ya misemo ya uswahilini, na mingine ukiisikia, ukiwa mgeni unaweza ukajiuliza hapa natukanwa au.
 
Back
Top Bottom