Recent content by Proud-Tanzanian

  1. P

    Nahitaji Bodi kwa Ajili ya Kuhifadhi Maziwa ya Tanga Fresh

    WanaJF, Husika na kichwa hapo juu. Nahitaji bodi kwa ajili ya kuhifadhi maziwa ya Tanga fresh. Niko Dar. Ikiwa unalo bodi au unafahamu mwenye nalo, tafadhali tuwasiliane kwa namba 0657 15 19 38 kwa ajili ya mazungumzo zaidi.
  2. P

    TRA yavuka lengo, Yakusanya trilioni 1.4 kwa mwezi

    Nani kakwambia serikali kazi yake kulisha watu!? Wewe endelea kufanya kazi, kuwa mbunifu na ujiendeleze. Usitegemee serikali ikuingizie pesa mfukoni. Kwanza misingi ya uchumi inapiga marufuku kuongeza mishahara hovyo hovyo. Serikali kazi yake ni kuweka mazingira wezeshi ya watu kujifanyia...
  3. P

    TRA yavuka lengo, Yakusanya trilioni 1.4 kwa mwezi

    Maeneo muhimu ambayo rais Dkt Magufuli amefanikiwa ni kwenye makusanyo ya kodi na kubana matumizi yasiyokuwa ya lazima....Sasa pesa ipo ya kutosha na tumeanza kutimiza ahadi zetu kwa wananchi. CCM mbele kwa mbele.
  4. P

    Bomoa bomoa; Rwakatare na Mengi wapeta

    Wewe bibi kizee jiheshimu.
  5. P

    Bomoa bomoa; Rwakatare na Mengi wapeta

    Shukrani kwa wema gani mlimfanyia? Nyie someni namba...Hakuna namna. Wambieni UKAWA wawajengee nyumba kwenye maeneo yaliyopimwa....Hatutaki wavunja sheria hapa Dar. Mlimchagua Mamvi ili aendelee kulea lea genge la wavunja sheria sio?
  6. P

    Bomoabomoa Arusha: Wakazi 3,000 Arumeru kubomolewa makazi

    WanaJF, Kama wote tujuavyo serikali ipo katika jitihada ya kuondoa wakazi wote waishio kinyume cha sheria za nchi hasa wale wakazi wa mabondeni, wanaoishi kwenye maeneo ya wazi na waliojenga kwenye fukwe na maeneo yasiyo ya kwao kihalali. Zoezi hili lililoteka media kwa sasa linaelekezwa nguvu...
  7. P

    Kubenea ana ugonjwa wa chuki (Uchambuzi)

    Kubenea alisoma chuo gani cha journalism? Tunaomba jina la chuo tafadhali. Au hata jina la shule aliyosoma.
  8. P

    Kubenea ana ugonjwa wa chuki (Uchambuzi)

    Kubenea mzee wa nilisoma hapa na pale. Teh teh teh. Ila chuki ni mbaya sana. Maisha yenyewe haya ya miaka michache duniani...Ya nini kuwa na chuki na mtu? Kuhusu ukigeugeu wa Kubenea....Sihitaji kusema kitu hapa. Ni yeye ndiye alituambia Lowassa hasafishiki na ushahidi kibao alikuwa akiweka...
  9. P

    Saed Kubenea: Sijagombea PAC, sijagushi jina wala Zitto hajui MwanaHalisi ilivyoanza

    Umepotoka! Zitto hajapania chochote kuhusu Kubenea. Zitto ni mbunge na kazi yake kubwa ni kuwapelekea wananchi wake maendeleo. Ikiwa Kubenea anafanya hayo ya kumchafua Zitto ili apate attention yake basi anapoteza nguvu na raslimali za MwanaHalisi. Kwa maana ni zaidi ya mwaka sasa anamwandika...
  10. P

    PAC inamfaa Mbatia

    Changia hoja iliyopo mezani acha kujipitisha pitisha kama bwa.bwa. Mimi uwa sili masho.ga....Hivyo usipoteze muda wako kujitangaza kwangu. Hiyo biashara yako ipeleke Mombasa huko.
  11. P

    Saed Kubenea: Sijagombea PAC, sijagushi jina wala Zitto hajui MwanaHalisi ilivyoanza

    Ni lini Lowassa alimshtaki Kubenea? Au unataka kutuaminisha kuwa, kwa kuwa Lowassa akushtaki...basi kila ambacho Kubenea amewahi kuandika kuhusu Lowassa kuwa hasafishiki, kuwa ni fisadi mkuu ni ukweli mtupu? Si ndio maana yako na hiyo hoja yako ya kushtaki.
  12. P

    Serikali yamsaidia Sumaye

    Kwahiyo tunakubali kuwa serikali ya sasa inatekeleza wajibu wake bila kuangalia itikadi za vyama? Si ndio? Basi inastaili kupongezwa!....Kwa kuwa ingeamua ikanyamazia tu hilo suala sijui mzee Sumaye angekimbilia wapi!? Hii iwe somo kuwa serikali ya CCM haina chuki na upinzani....Bali ipo...
  13. P

    PAC inamfaa Mbatia

    Msipoteze muda kutaja majina ya UKAWA kwenye nafasi ya uenyekiti wa PAC...ni kupoteza muda tu. Ili mbunge wa upinzani (Uenyekiti wa Kamati ya PAC ni kwa wapinzani pekee huku umakamu uenyekiti ni kwa chama tawala - Hii ipo kikanuni) aweze kuwa mwenyekiti wa PAC sharti akubalike kwa spika...Sasa...
  14. P

    CCM ni ile ile oooh ni ile ile....

    Ni kweli nimesoma....But just one paragraph na title tu. And immediately I found out it's not worth reading. Siwezi kusoma ujinga wote huo. Sasa pamoja na andiko lefu hivyo lakini hata comments 10 halina...huoni kuna ulakini hapo? Kubali umeandika pumba. Ngoja ni comment comment walau nikupe...
  15. P

    Ule uongo wa miaka nenda ndio umefika tamati

    Jamaa alikuwa mpiga debe mzuri sana wa UKAWA wakati wa kampeni. Sasa hivi anapumuliwa kisogoni huku anazungusha mikono tu. Hiyo ndio hulka ya UKAWA....Ni ubwa.ubwa mwanzo mwisho.
Back
Top Bottom