nachukia watu wanaoandika bila kuwa na statistics , toka lini mapato ya utalii Kenya yakawa makubwa kuliko Tanzania???
2013 Kenya total receipt 1.1 billion USD
2013 Tanzania total receipt 1.9 billion USD
2014 Kenya total receipt 1.5 Billion USD
2014 Tanzania total receipt 2.0 Billion USD
average expenditure per day per tourist Kenya 204 USD
Tanzania 317 USD per day
GDP contribution Kenya 4.8 %
Tanzania 17%
Pasco nakuheshimu, jifunze kuandika kwa kutumia data
Kenya wanachotuzidi ni idadi ya watalii ambapo wanapata average ya 1.7 million tourists annually wakati Tanzania tunapata 1.2 million annually (2014 stats). na hii inasababishwa na policy yetu ya "low volume high yield"
wakenya policy yao ni "mass tourism"