Nahitaji Bodi kwa Ajili ya Kuhifadhi Maziwa ya Tanga Fresh

Proud-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
217
90
WanaJF,

Husika na kichwa hapo juu.

Nahitaji bodi kwa ajili ya kuhifadhi maziwa ya Tanga fresh. Niko Dar.

Ikiwa unalo bodi au unafahamu mwenye nalo, tafadhali tuwasiliane kwa namba 0657 15 19 38 kwa ajili ya mazungumzo zaidi.
 
Back
Top Bottom