PAC inamfaa Mbatia

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Kati ya wabunge ambao wana msimamo wasio kuwa na tamaa ya pesa wasio taka sifa wasizo stahili na wenye weledi katika kazi basi James Mbatia huwezi kumkosa.

Kama tunahitaji PAC itakayo simamia maslahi ya umma basi watu kama James Mbatia wasiachwe.

Magufuli na CCM yako kama mnataka mashirika yanayo wateza kwa kuwategemea yafufuke basi mnapo piga kura fikirieni kijana James Mbatia.
 
Last edited by a moderator:
Msipoteze muda kutaja majina ya UKAWA kwenye nafasi ya uenyekiti wa PAC...ni kupoteza muda tu.

Ili mbunge wa upinzani (Uenyekiti wa Kamati ya PAC ni kwa wapinzani pekee huku umakamu uenyekiti ni kwa chama tawala - Hii ipo kikanuni) aweze kuwa mwenyekiti wa PAC sharti akubalike kwa spika...Sasa Je, mpinzani gani anakubalika kwa spika na kwa wabunge wengi...It's obvious....Ni Zitto Kabwe.

Hivyo msipoteze muda hapa kutaja oooh sijui Mbatia....PAC inarudi kwa Zitto. Period.
 
Wewe umejuaje kama Mbatia hakubaliki na Spika.. au na wewe una mgao
 
Spika ndio kila kitu maana ndio anagawa na kupanga wabunge kwenye kamati wakachague viongozi

Itategemea atapanga wabunge gani kutoka upinzani kwenye kamati ya PAC

Binafsi nampa nafasi kubwa Zitto
 
Yes, Mbatia angeweza kufaa sana. Ila kile kirusi kina support ya CCM, lazima kitarudishwa tu.
 
Kati ya wabunge ambao wana msimamo wasio kuwa na tamaa ya pesa wasio taka sifa wasizo stahili na wenye weledi katika kazi basi James Mbatia huwezi kumkosa.

Kama tunahitaji PAC itakayo simamia maslahi ya umma basi watu kama James Mbatia wasiachwe.

Magufuli na CCM yako kama mnataka mashirika yanayo wateza kwa kuwategemea yafufuke basi mnapo piga kura fikirieni kijana James Mbatia.

Unamaanisha uenyekiti wa PAC (Pan African Club) ile klabu ya mpira ya miaka ya nyuma!?
 
Msipoteze muda kutaja majina ya UKAWA kwenye nafasi ya uenyekiti wa PAC...ni kupoteza muda tu.

Ili mbunge wa upinzani (Uenyekiti wa Kamati ya PAC ni kwa wapinzani pekee huku umakamu uenyekiti ni kwa chama tawala - Hii ipo kikanuni) aweze kuwa mwenyekiti wa PAC sharti akubalike kwa spika...Sasa Je, mpinzani gani anakubalika kwa spika na kwa wabunge wengi...It's obvious....Ni Zitto Kabwe.

Hivyo msipoteze muda hapa kutaja oooh sijui Mbatia....PAC inarudi kwa Zitto. Period.
Labda nikuambie jambo moja ila uniwie radhi. Kila hoja unataka uichangie kwa style yako ambayo naweza kusema ni ya kipekee, ila kwa kweli huwa ni pumba tupu na unadharaulika mno.
Lazima uelewe kuwa JF sio kijiwe cha wajinga wajinga waliojaa mizaha. Hapa ni mahali ambapo tumeona hata serikali ikifuata ushauri uliowahi kujadiliwa hapa na watu wenye weledi.
Jadili kwa staha mkuu na utaheshimika hata kama hapa hatujuani
 
Changia hoja iliyopo mezani acha kujipitisha pitisha kama bwa.bwa. Mimi uwa sili masho.ga....Hivyo usipoteze muda wako kujitangaza kwangu. Hiyo biashara yako ipeleke Mombasa huko.
 
Kati ya wabunge ambao wana msimamo wasio kuwa na tamaa ya pesa wasio taka sifa wasizo stahili na wenye weledi katika kazi basi James Mbatia huwezi kumkosa.

Kama tunahitaji PAC itakayo simamia maslahi ya umma basi watu kama James Mbatia wasiachwe.

Magufuli na CCM yako kama mnataka mashirika yanayo wateza kwa kuwategemea yafufuke basi mnapo piga kura fikirieni kijana James Mbatia.

Ifikie sehemu tuheshimu taaluma. Mbatia ni mzuri kwenye kamati zinazohusu miundombinu, nafasi kama hii ni vizuri akape mtu mwenye ujuzi wa uchumi au uhasibu. Kwa upande wangu naona Silinde ana sifa zote za kuiongoza kamati hii.
 
Msipoteze muda kutaja majina ya UKAWA kwenye nafasi ya uenyekiti wa PAC...ni kupoteza muda tu.

Ili mbunge wa upinzani (Uenyekiti wa Kamati ya PAC ni kwa wapinzani pekee huku umakamu uenyekiti ni kwa chama tawala - Hii ipo kikanuni) aweze kuwa mwenyekiti wa PAC sharti akubalike kwa spika...Sasa Je, mpinzani gani anakubalika kwa spika na kwa wabunge wengi...It's obvious....Ni Zitto Kabwe.

Hivyo msipoteze muda hapa kutaja oooh sijui Mbatia....PAC inarudi kwa Zitto. Period.

Mbatia labda L.A.A.C
 
Spika ndio kila kitu maana ndio anagawa na kupanga wabunge kwenye kamati wakachague viongozi

Itategemea atapanga wabunge gani kutoka upinzani kwenye kamati ya PAC

Binafsi nampa nafasi kubwa Zitto
Nasikia Zitto aliandika kabisa barua kuomba nafasi hiyo kwa Spika? Hata kule Chigoma huwa anajiita Mwenyekiti Mstaafu wa PAC.
 
Back
Top Bottom