Recent content by ProtonH

  1. P

    Hii ndiyo mipango na maneno ya mwisho ya January na Maharage. Jee yataendelea kuwa na mashiko?

    Shirila linahitaji watu tofauti kabisa ambao hawata ingiliwa katika maamuzi, kitu ambacho ni kigumu kutokana ma maslahi ya watu
  2. P

    RC Chalamila: Mkome, kama mlivyokoma titi la mama yenu

    Watanzania tuna safar ndefu. uboreshajinwa miundombinu ya soko umeshaanza, wao bado hawaridhiki,? dah hatari kweli. Bila ubabe, pale pangeendelea kuwa vile. Niko upande wa RC Chalamila, somtimes watanzania wanahitaji ubabe wa namna ile ili mambo yaende.
  3. P

    Hii ndiyo mipango na maneno ya mwisho ya January na Maharage. Jee yataendelea kuwa na mashiko?

    1. Mahitaji ya umeme yameongezeka mara 8 zaidi ya awali. 2. Tunahitaji Tri+ kufanya maboresho ya miundombinu ya njia za umeme 3. Hata bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere likikamilika umeme utaendelea kuwa wa mgao kwakuwa shirika litauza nje ili kulipa deni la ujenzi wa bwawa. TANESCO NI...
  4. P

    Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Utofauti wa wale wa TEC na wengine huanzia hapa! Hiyo pesa ni kubwa sana, kama wangejitolea hata kujenga shule au hospital na kuipa jina lake kwa heshima ya mchango wake katika kanisa, nadhani ingekuwa bora zaidi. Hapo running cost ya hilo gari ( wese+ service) ni gharama, ambazo pengine...
  5. P

    Baraza Kuu la UN UNGA- 78 Makamu wa Rais wa Tanzania kutoa mada

    Ukweli Mchungu! Watanzania tunahaja ya kuwekeza pia katika Lugha ya Kiingereza.. Sometimes, mtu anakuwa na kitu kichwani lakin anashindwa kukipresent kwa ufasaha sababu ya language barrier.
  6. P

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

    Unasahau kama fedha hizo hizo ndio wanalipana mishahara minono na kukopeshana!? Jipe muda kufuatilia fedha ambayo iko nje ya mzunguko wa Bima, utashangaa akili ya mtu mweusi.
  7. P

    FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

    Tuseme basi ndio aina ya ucheziji wa simba kwa sasa, Hawana kasi na kupoteza mipira ndio jadi
  8. P

    FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

    Phiri na Kanute watoke nje, weka Baleke na Luis. Lakini zaidi, Simba hawajitumi, tatizo ni nini? Wanacheza kifaza mnoo.
  9. P

    UDSM hii mmewakatisha na kupunguza ari ya kufanya kazi kwa hao vijana wenu

    Mbona maelezo yako wazi? aliomba kuhama kulingana na maelezo au mahitaji ya Muajiri yaliyowekwa kwenye tangazo.
  10. P

    UDSM hii mmewakatisha na kupunguza ari ya kufanya kazi kwa hao vijana wenu

    We jamaa, hufaham maana ya tangazo? ile ni sehemu ya mkataba. Ongea kitu kingine! nini maana ya zile condition zilizowekwa ili mtu ajitafakari na nafasi tajwa?
  11. P

    UDSM hii mmewakatisha na kupunguza ari ya kufanya kazi kwa hao vijana wenu

    Mkuu, kesi yao iko ivi! walitoa tangazo, mpaka grades za salary, mwisho wa siku kilichotokea ni kuwa mkataba umekuwa tofauti na namna walivyo tangaza. Mfano, badala ya ngazi A ya mshahara kama walivyo tangaza unakuja kumpa ngaz c ambayo haikuwepo kwenye tangazo. Hii ni sahihi? naamini watu...
  12. P

    UDSM hii mmewakatisha na kupunguza ari ya kufanya kazi kwa hao vijana wenu

    fox, Muktadha wa ujumbe wangu umeshindwa kuujua, na sidhani kama utaujua kwa huo uelewa wako Nadhani fox, bora ukae kimya, acha waelevu wasome ujumbe, inapowezekana watasaidiwa, ikishindikana bado kuna room kwa wahusika kuchukua hatua zaidi, kama unavyoshauri wewe!! Pia, sio lazima kila kitu...
Back
Top Bottom