FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Mbona hawa uto wanajichekesha sana humu kwao wamefunga? Maana sina mzuka napo huko...
 
Hizi midfielder za simba ngumu mnoo kama zinakula mawe, haziwezi kutuliza timu, namba 6 anacheza nje ya eneo kwa muda mwingi,kiungo hakina commanding.

Atoe huyu kanoute aingie ngoma.. simba wanahitaji na namba 8 mwenye akili,uwezo sawa ama zaidi ya NGOMA
Sio kama Pacome zouzou au Azizi Ki
 
Kwa uwanja wa chamazi ulivyo mdogo timu pinzani ikimua kukaza kuondoka na suluhu ni rahisi tu, yaani Simba kupata 2-0 Chamazi ni kimbembe japo inawezekana, hapa Simba aongeze kujituma tu juhudi na kukimbia saana nadhani tunamaliza hapahapa
 
Back
Top Bottom