Recent content by Prosto

  1. Prosto

    Nimeelewa sababu ya vijana kupenda Toyota Crown

    Kwamba athlete ni matata kuliko royar[emoji9] ?
  2. Prosto

    Natafuta mme

    Niachie namba yako pm kama upo serious nikutafute Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Prosto

    Polisi yamwachia Dk. Shika baada ya kujidhamini mwenyewe

    Hoja tajwa yahusika Wengi ktk watu kwa takriban wiki sasa wameshawishika na huyu jamaa hususan issue nzima ya mnada wa nyumba za lugumi, wako waliocheka kwa kukenua na wako waliocheka kwa kutabasamu provided that kila mtu ameonesha furaha pale habar za huyu jama zinapotajwa, kwa kweli habar...
  4. Prosto

    Kaja anatafuta dawa ya Misoprostol, nikamuuliza unaumwa nini, kala kona

    Kwa wanawake ajuza au wanaume wenye vidonda vya tumbo pia inatumika, huenda pia alitumwa na miongon mwa hao. Muuzaji umefkiria suala la kutoa ujauzito moja kwa moja pengine ndo maana uklaeta uzi huu because it is the topic whic intrested as u think et al
  5. Prosto

    Hivi kuoa nikiwa na miaka 23 ni sahihi wakubwa

    Uz wako ni kipimo kua c wew sahihi kuoa kwa umri tajwa et al
  6. Prosto

    Tigo na kampeni ya jazwa ujazwe ni wizi mtupu na utapeli

    Mi nliweka vocha, kabla cjafqnya xhochote wakanilamba tsh 100, nkashidwa kujiunga, majibu yao yakanikatisha tamaa et al
  7. Prosto

    ITV Tanzania hii ni aibu ya mwaka kwenu. Ongezeni umakini

    Kosa la taasis halipimwi sawa kosa mtu binafsi, kwa ITV kosa hilo ni kubwa sana et al
  8. Prosto

    IGP Sirro: Wasiovaa kofia ngumu tutaomba mahakama iwanyime dhamana, wakae jela wiki mbili

    Hatari hii, kila mtu ana haki bt usiombe haki ya mtu ipokonywe, leo kwake kesho kwako et al
  9. Prosto

    RC wa Tanga ashindwa kutafsiri CRB

    Huko c kutafsir ni kurefusha, pamoja na hivyo lkn c busara kumsimanga kwa kisa digi kama hilo ikizungatiwa hakuna aliyekamilka ktk wanadam, hata refa kuna baadh ya makosa hus anapeta et al
  10. Prosto

    Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

    Majib ya mkojo yataderive kwanin apimwe et al
  11. Prosto

    TRA na kodi ya majengo ulaji mtupu

    Bado maguful hajaeleweka vizuri et al
  12. Prosto

    Nimefahamu kwamba mke wangu sio mke wangu (sad)

    Kila baada ya talaka moja kwenda nyingine ni lazima kuwepo na eda, talaka tatu kwa mara moja ni hadith za abunuasi na ujuha wake wala c za mtume wala maneno ya wafuasi wake waliowema. et al
Back
Top Bottom