mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,584
- 45,202
Harvard sioFanya ufanyavyo hakikisha unasoma chuo alichosoma ANDREW CHENGE. Haki vile mimi natamani muda urudi nyuma
Harvard sioFanya ufanyavyo hakikisha unasoma chuo alichosoma ANDREW CHENGE. Haki vile mimi natamani muda urudi nyuma
Mnyika hakumaliza degree alifukuzwa pale..Acha Utani Wewe Hawajulikani Sana?
Msomi Mnyika Alikuwa Intake Moja Na Zitto Kabwe.
Eeeeh ndioHarvard sio
Could Be But Bhado Ni Ud Product
Ridhiwan naye ni wakili msomi???Wakili Msomi Albert Msando.
( Udsm Product).
Msomi Humphery Polepole
( Udsm Product).
Msomi Ridhiwani Kikwete
( Udsm Product).
Msomi John Mallya
( Udsm Product).
Msomi John Mnyika
( Udsm Product)
Etc.
Ndio Mkuu.Ridhiwan naye ni wakili msomi???
No mkuu... Présentation si in groups kila grup na siku zao af law hawapo wengi wachache sana... Issue ni kuwa ya ud inaonekana ngumu mana inakazwa sana... Afu hawabebi bebi watu yan... Hujui hujui... Inahitaj commitment la sivo utabak unalialia kuhama chuoUmemjibu vizuri mkuu akikimbilia udsm idadi ya wanafunzi ni wengi hata presentation hazitakuwa na ubora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua Ud au umesimuliwa mkuu.Elimu ya chuo hakuna kujua uwe na one or three vyovyote vile kujisomea ndio kutakusaidia usikimbilie jina ud utamaliza hujui ww ni nan.No mkuu... Présentation si in groups kila grup na siku zao af law hawapo wengi wachache sana... Issue ni kuwa ya ud inaonekana ngumu mana inakazwa sana... Afu hawabebi bebi watu yan... Hujui hujui... Inahitaj commitment la sivo utabak unalialia kuhama chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nin hujakielewa hapo.. Simaanishi one au two au nin.. Namaanisha ü serios katk vyuo ud namber one.. Waulze UDSoL watakupa mchapo vzur.. Nakijua nmegraduate hapo hiyohiyoUnaijua Ud au umesimuliwa mkuu.Elimu ya chuo hakuna kujua uwe na one or three vyovyote vile kujisomea ndio kutakusaidia usikimbilie jina ud utamaliza hujui ww ni nan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cjaelewa vingi mkuu.Hata mm pia nimesoma ud nachojalibu kumweleza mleta hoja afanye utafiti kidogo mfano mzuri niliwahi tembelea mzumbe na Ruco walikokuwa wanasoma wenzangu nilifurahi style yao ya usomaji presentation za kutosha zinazowajenga sana wanafunzi nikalingani na kwetu ud nikaona kuna tofauti sana.Hoja yako ya chuo bora mm huwa siizungumzii sababu vigezo vya kuita Elimu bora ni matokeo ya aliyepata Elimu.Nin hujakielewa hapo.. Simaanishi one au two au nin.. Namaanisha ü serios katk vyuo ud namber one.. Waulze UDSoL watakupa mchapo vzur.. Nakijua nmegraduate hapo hiyohiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nlichogundua kwenye kazi mkuu kipaumbele Ni Ud hâta kama wa chuo kingne kakuzidi GPA ndo mambo nlokutana nayo... Kwa hiyo kuna kitu cha itofauti hapo ila point nataka unielewe Ni elimu pâle hai bebi bebi hicho cha mcngi..Cjaelewa vingi mkuu.Hata mm pia nimesoma ud nachojalibu kumweleza mleta hoja afanye utafiti kidogo mfano mzuri niliwahi tembelea mzumbe na Ruco walikokuwa wanasoma wenzangu nilifurahi style yao ya usomaji presentation za kutosha zinazowajenga sana wanafunzi nikalingani na kwetu ud nikaona kuna tofauti sana.Hoja yako ya chuo bora mm huwa siizungumzii sababu vigezo vya kuita Elimu bora ni matokeo ya aliyepata Elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Viva Udsm.Ila nlichogundua kwenye kazi mkuu kipaumbele Ni Ud hâta kama wa chuo kingne kakuzidi GPA ndo mambo nlokutana nayo... Kwa hiyo kuna kitu cha itofauti hapo ila point nataka unielewe Ni elimu pâle hai bebi bebi hicho cha mcngi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Msomi Kibatala.
Duuh!