dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Siku nyingine isome kama hujaelewa miamala imekuaje uwaulize kamandaAhsante mkuu Jana jamaa walipiga ela nyingi Sana kwa sababu wengi wa wananchi hawajui hata kusoma risiti
Siku nyingine isome kama hujaelewa miamala imekuaje uwaulize kamandaAhsante mkuu Jana jamaa walipiga ela nyingi Sana kwa sababu wengi wa wananchi hawajui hata kusoma risiti
Wapi huku Mkuu?Pigweni dili tu..huku kwetu ata umiliki kasri la ekar 5 tunalipa buku2!..cjawatuma mkimbilie huko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu kaskazini huko hizo habari za elfu30.. Hatujawai sikiaWapi huku Mkuu?
Hongera bwana Ernest Mwakasege kwa kulipia kodi ya jengo!
666[/QUOT
Mketa topic acha unazi.hela ilivyo ngumu kupata wewe unatoa hata risiti hukagui.swali tutaamini vipi kama hujalipa 15000 unataka wapaka matope hao TRA.huu ni uzushi naona hujitambui siku nyingine hicho kiloba weka barafu upunguze makali
Halafu mkuu anza kukagua post zako zote ulizopost kwa hiyo fake ID. Hapa umeleta Data zako zote. Makosa ya mtandao yatakukamatakama kuku wa kisasa.Da kwaiyo ishakula kwangu?
Umechelewa palepale ungeliamsha DuDeDa sijui niwafuate j3 wakanirudishie chenji yangu
Acha uwongo na kuwakashifu bure watumishi wa TRA. Kama ni kweli, Ulishindwa nini kumwuuliza aliyekuhudumia sababu ya kukuandikia kiwango kidogo wakati ulilipa zaidi?Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki,
Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo.
Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000.
Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?
![]()
Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki,
Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo.
Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000.
Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?
![]()
Ahh malizia mkuu ilikuwajeKuna siku nilienda kwa MDOSI, nilitaka kufanya manunuzi ya devices kama za 1m Tshs. Nikaomba discount MDOSI akakaza!
Nikachukulia poa. Nikalipa. Akajifanya kujisahaulisha kunipa RECEIPT, ana kazi ya kusifia quality ya zile devices.
Nikamuomba receipt. Jicho likamtoka. Mimi kau. Akajizunguusha wee! Kuja kutoa receipt, figure inasoma lac 3.5!
Nikamuita. Nikamuambia sogea hapa! Wabongo wauzaji wake wakaanza kumbwela! Nikamuambia hizi bidhaa zako kaa nazo, mi naondoka na RECEIPT tu!
Kilichofuata....! Ngoja nigonge MCHEMSHO kwanza!
Post sent using JamiiForums mobile app
eh eh hii kitu nami niliiona aisee nilinunua hometheater laki 4.5 kucheki risit inasoma laki 180 nkamwambia tusitaniane pasu kwa pasu uzuri i.likua kipindi bado kariakoo hawajaanza kaza tra nkarudi na kalaki kangu na nusu.Kuna siku nilienda kwa MDOSI, nilitaka kufanya manunuzi ya devices kama za 1m Tshs. Nikaomba discount MDOSI akakaza!