Recent content by prosperjuma

  1. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Baadhi ya Maafisa wa Jiji la Mwanza wamebomoa Fremu zangu kihuni, wananikwepesha nisimuone DED kumuelezea

    Maelezo yako yanaonesha wewe mkorofi. Unajenga kwenye barabara. Na weng wapo hivyo. Wanaingia hadi kwenye barabara. Ukiwaambia hapo ni barabarani wanang'aka. Kuwekewa mipaka sio kigezo cha kujenga unavyotaka. Ulipaswa kuomba kibali na ujenge kwa maelekezo ya wataalam. Hapo hata ukienda...
  2. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    F Fanya utafiti vizuri kabla ya kupinga
  3. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Ulevi Unaninyima Amani. Ninaomba Msaada wenu

    Umeshafikia kiwango cha addiction. Ni ngumu sana kuacha. Inahitaji neema ya Mungu tu. Nina kaka yangu alianza kujifunza kunywa pombe akiwa kidato cha 2. Akawa anakunywa kidogo kama starehe tu. Tulimsihi sana aache maana akishazoea hatoweza kuacha. Lakini alitubishia akiamini akiamua tu anaweza...
  4. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Ukoo wa mwinyi upo zanzibar kule. Mkuranga kanua ardhi tu.
  5. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jumanne Kishimba aitaka Serikali kusitisha ujenzi wa madarasa

    Nyerere aliona mbali sana kutaifisha shule zote ziwe za serikali. Alijua watakaoharibu elimu ni wale ambao watoto wao hawasomi shule za serikali. Leo hii mtu anasema lugha ya kufundishia iwe kiswahili. Lakn private waruhusiwe kufundisha kiingereza. Maana yake soko la ajira litakamatwa na...
  6. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Akikujibu niambie. Nimekaa palee🤣
  7. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Kodi kwa 'watoto' wa miaka 18?

    Hata sasa unakatwa kodi kwenye hizo huduma
  8. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu hospitali ya Wilaya Morogoro Vijijini

    aende kwanza. hizo changamoto atazijua huko huko
  9. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini itabadili muda kwa saa 1 kwa kuhama ‘time zone’

    Kumbe tunaweza amua mwezi uwe na wiki 2 tu
  10. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkuu wa Mkoa apiga marufuku tabia ya Madiwani kuazimia kuwafukuza Watumishi bila ya sababu za msingi

    Madiwani ndio wenye halmashauri. Wakiazimia hawakutaki ujue utafute pa kwenda
  11. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkuu wa Mkoa apiga marufuku tabia ya Madiwani kuazimia kuwafukuza Watumishi bila ya sababu za msingi

    Madiwani ndio wenye halmashauri. Wakiazimia hawakutaki ujue utafute pa kwenda
  12. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Tariffs za TANESCO zipoje?

    Kwa nini wengine wakitoa Tshs 10,000/= wanapata umeme mwingi kuliko mimi? Bei ya umeme inatofautiana kutokana na kundi la matumizi mteja alilopo mfano Matumizi Madogo ya nyumbani (D1) ambao wanatumia umeme wa majumbani ambao matumizi yao ni wastani wa KWh 75 kwa mwezi wananunua umeme uniti moja...
  13. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Ubora wa tv za evvoli

    kuna rafk yangu kanunua TV sumsang 43'' bland new lakn haijachukua mwez ikaungua. kuna mwingine ana hiz za kichina lakm zina miaka ipo tu inadunda. halafu hizo za bei chafu zikiharibika kutengeneza ni bora ununue nyingine.
  14. prosperjuma

    JamiiForums Tanzania Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

    et unapasha kiporo chenu. Hahahahahhahahhaa. Ila hizi njia za kisasa kwa kweli ni majanga. Ukizitumia mda mrefu hata mwanamke akija kushika mimba kuna uwezekano mkubwa wa mimba hiyo kumsumbua zaid kuliko kama asingekuwa anatumia hiz njia za kisasa.
Back
Top Bottom