Ubora wa tv za evvoli

Ubora wa tv za evvoli

Bidhaa ngingi bora ukiangalia hukosi jina china. Itafute hiyo brand ujue km ni kweli ya italy
Wakuu habari zenu, mwez mmoja uliopita nilinunua tv 32'' kutoka jumia (online shopping) kwa kiasi cha 450000 mpaka moshi. Nilivutiwa kununua tv hii sababu jumia walidai ni original brand from italy. Pia specification za tv zilinivutia sana. Specification n kama ifuatavo.
Screen resolution 1920×1080
Display screen. LED
Ports. Ina port mbili za HDMI, T-LINK naweza tumia simu ikareflect kwenye tv, port mbili za USB,
Power, ina sehemu mbili za umeme yani 12v DC na 220v AC
Security, unaweza weka password kama ukizima tv wakati wa kuwasha lazima uweke password.
Warranty . 2 years.
Wakuu naombeni kujua ubora wa tv hii kwa anae fahamu au anae tumia, maana hii tv ilivo kuja kwa nyuma imeandikwa made in PRC baada ya kugoogle hyo prc ikaja PEOPLE'S REPUBLIC OF CHINA. na huku kwnye screen kumepambwa na bendera za italy, na box kwa pemben limeandikwa produced for Evvoli Milan italy! Nachanganyikiwa made in china na produced for evvoli Milan italy. Mpaka sasa sijaona tatzo la kiufund kwny tv picha ni quality sana sauti ni high quality lakin naomben mtazamo wenu juu ya tv hii.
 
Kuna jamaa wamechukua hii TV, ila imenitisha kidogo kwa sababu haina king'amuzi cha ndani
 
kwa mimi i nashauri sony (original one) hawa jamaa wanajua wanafanya nini ile bei fumba macho
 
kwa mimi i nashauri sony (original one) hawa jamaa wanajua wanafanya nini ile bei fumba macho

kuna rafk yangu kanunua TV sumsang 43'' bland new lakn haijachukua mwez ikaungua. kuna mwingine ana hiz za kichina lakm zina miaka ipo tu inadunda. halafu hizo za bei chafu zikiharibika kutengeneza ni bora ununue nyingine.
 
Moja ya faida ya kununua kitu brand kubwa ni warranty na support. Unanunua kitu mwezi mmoja kinaharibika unabaki nacho nyumbani?
 
mtumbani siku hizi wanakupa warranty ya miezi kadhaa kwa brand kubwa tofauti na hizi ambazo hazina warranty

Moja ya faida ya kununua kitu brand kubwa ni warranty na support. Unanunua kitu mwezi mmoja kinaharibika unabaki nacho nyumbani?
wanachofanya jamaa ni kuziprice katika bei ndogo kwa kua wanajua tunapenda vya bei rahisi!
 
Back
Top Bottom