Recent content by Propolis

  1. Propolis

    Mataabiko ya kimaisha anayopata msaliti baada ya usaliti! Mtendwa

    Nilikuwa Nasikia mapenzi yanaweza kuuwa sasa nimethibitisha hilo baada ya kusalitiwa na mpenzi wangu ambaye nilikuwa nimeisha mtolea hadi kiasi cha mahari Nyumbani kwao inauma sana hata Chakula kilikuwa hakiwezi kupita kooni. Ilikuwa mwaka jana 2017 Disemba akiwa kwao akaaga anakuja kazini...
  2. Propolis

    Siku ya kwanza kupiga punyeto(masturbation)

    Tuambie ulivyo jipa Raha
  3. Propolis

    Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

    Umeongea kweli ,tatizo Polisi wetu wanaweza kuagizwa bila kuambiwa sababu ya kuagizwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Propolis

    Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

    Kama wewe ni RC kama mimi huo Kwako, ushakuwa msala, ila kama imani ya Dini yako inaruhusu kumuacha achana nae ni bora kusolve tatizo kabla halijawa kubwa.
  5. Propolis

    Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

    Aiseeh tatizo kama langu wangu Ex tokea nimemuacha hadi leo Unakaribia mwaka lakini anaendelea kunipigia simu nilisha mkataza lakini hasikii, juzi nilimwambia tuma message ambazo hazioneshi mahusiano ya kimapenzi maana mimi nina Binti Mwingine tayari kimahusuano.
  6. Propolis

    Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

    Kuna Binti, nilikuwa na Mahusiano nae tokea nimalize form four hadi nilipokuwa chuo kikuu nahitimu Mwaka 2015 pale Sua, lakini nikiwa mwaka wa mwisho alianza kunisaliti niligundua tayari akiwa na ujauzito wa mwingine tayari, cha ajabu kazalishwa na kutelekezwa sasa analia turudiane na mimi...
  7. Propolis

    Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

    Hiyo kweli mimi Kuna Binti aliniacha akaingia kwenye mahusiano na mtu mwingine, jamaa kamzalisha nae kumuacha sasa ananitafuta tena na mimi niliisha funga vioo.
  8. Propolis

    Natafuta binti mwenye nia ya kuolewa

    Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti huyo awe na sifa zifuatazo; awe na miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe na kuanzia Asta shahada (Certificate) na isizidi Shahada (Degree). Awe na kipato chake au...
  9. Propolis

    Natafuta mwenza wa kuishi nae wa kike

    Nadhani sijaeleweka kuishi nae kwa kufuata taratibu zote, baraka za wazazi ili niishi nae kama mke halali wa ndoa samahani kwa kutonielewa awali.
  10. Propolis

    Natafuta mwenza wa kuishi nae wa kike

    Mimi ni kijana wa mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc. Forestry). Ila Binti awe na Elimu ya Kuanzia cheti (Certificate), stashahada (Diploma) au Shahada (Shahada) awe na chini ya miaka 25 lakini awe mjasiliamali au mwenye uwezo kujishughulisha na kujiingizia...
  11. Propolis

    Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

    Kiukweli Kuna mabinti wanapenda kupiga mizinga sio mchezo, Anatumia hela kutoka Kwako tafikiri wee ni saccoss anazidi hata hela ya matumizi unayo mtumia Mama mzazi Nyumbani [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  12. Propolis

    Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

    [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  13. Propolis

    Nina swali dogo tu, kwa nini wanawake wajawazito wanavalia kanga juu ya maziwa??

    Wengine wanafunga kanga juu ya maziwa kubalance tumbo Lake pamoja na kulistili, wengine wanafungia juu ya maziwa kuficha mimba isionekane na wengine wanavalia juu ya maziwa ili asiibane sana mimba yake.
  14. Propolis

    Wanaume kwanini huwa hamuamini pindi binti anavyokwambia hisia zake?

    Me niliwahi kumpata Binti, baada ya kumtafuta Ndani ya miaka, mitatu. Lakini kama nisinge Vumilia wala nisinge mpata, Baadhi ya Mabinti wengi sio wa kukubali kwa maramoja.
  15. Propolis

    Wasichana/Wanawake waliowahi kuwatongoza wanaume njooni mshuhudie

    Aiseeh hizo za Mabinti kutongoza wanaume zipo sana, mimi binafsi mwezi February uliopita nimependwa na Binti mmoja hadi kununuliwa saa nzuri ya gharama lakini mimi Sina hisia nae hata kidogo lakini anavyo hangaika hadi namuonea huruma, sasa niko Serengeti, Mara ila yeye Tuko Morogoro.
Back
Top Bottom