Hizo contrast ndizo hata Mungu kaziweka kwa kusudi la asili ili wenye upeo waelewe maana halisi ya kusudi la uwepo wao,duniani ni mahali pa kuelewa maana hata uwapo gizani,ni mahali pa makamnda wa roho kuzisoma alama za nuru katikati ya giza na kelele za dunia,wewe ni moja wapo wa kelele za...
Ikiwa kila kitu kingekuwa katika ukamilifu hakuna ugonjwa wala kifo, dunia hii ingekuwa Paradiso tayari. Lakini asili ya maisha ya duniani ni kuwa na mapungufu, na hayo mapungufu ndiyo yanatufanya tutafute maana zaidi ya maisha haya.Vimbunga,vifo,mafuriko na mabaya yote yasiyoelezeka ndilo kiza...
Wee tumbili nini? Amekueleza madhara yanayoweza kutokea ama yaliyowahi kuwakuta watu- sasa unapinga nini? Umeuliza ili usikie sifa nzuri ee? Sasa kwa nini unasumbua watu si uyatumie tu kama taarifa mbaya huzitaki.
Sera za washirika wa Iran si za kelele kama za washirika wa Ukraine! Ndiyo maana unaona marekani analalamika kuwa china inaisaidia Iran kwa siri- kifupi Iran ni wasiri sana pamoja na washirika wake
Funguka akili kaka,
1.Iran imetafutwa miaka mingi sana na marekani hivo ilijiandaa.
2. Hayo maandalizi hayakua ya Iran pekee bali washirika wakubwa wanaoelewa hila za USA—Russia,china,Korea ya juu na nchi za kijamaa zote hizo zipo nyuma ya Iran toka miaka mingi nyuma kwani walijua ipo siku USA...
Umeandika nini sasa? Umeitaja bill.20 imefanya nini sasa? Kama unajua si useme. Maelezo umeandika kama mfu atembeaye duniani bila makazi- umepigwa na upofu wa ufahamu hujui unaelezea nini. Kama huwezi kuwasilisha ujumbe kwa watu kaa kimya ujifunze,maarifa yako finyu usitoe hoja inayohitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.