Nani amsikize,Kuna siku ataongea
Tunajua unajua!Wakati wengine wakiwa kwenye msiba,tulia yeye katuma kijembe kwa njia ya mafumbo.
Wakati huu ambao wambea tumepumzika na mambo ya wasanii, bado tunaendelea kupata burudani kupitia haya yanayoendelea.Wakati wengine wakiwa kwenye msiba,tulia yeye katuma kijembe kwa njia ya mafumbo.
Akina nani ni communists boss?communist kuuwa ni jadi yao, stalin aliua 40 milion ukrainians kuestablish communism, alisema, ''a man death is a tragedy, the death of a million is statistics'', communists wanaweza kuua nusu ya nchi yote for power, i.e wakishaanza kuuwa huwa hawaachi mpaka mwisho kwa maana inazoeleka, kifo cha kwanza ndiyo huwa kigumu baada ya hapo ni mpaka mwisho, communist siyo kabisa, be safe ...
Hakuna kuwazungumzia wasanii mpaka akili zikae sawa.Wakati huu ambao wambea tumepumzika na mambo ya wasanii, bado tunaendelea kupata burudani kupitia haya yanayoendelea.
Inafurahisha sana namna watesi wetu wanavyokanyagana, kila siku kuna jipya hawatupumzishi.
With all due respect, CCM na viongozi wake siyo wakomunisti. Hata kidogo wala hawana uhusiano. Hawana itikadi wala dira. Wao ni kula na kutapanya mali za nchi.communist kuuwa ni jadi yao, stalin aliua 40 milion ukrainians kuestablish communism, alisema, ''a man death is a tragedy, the death of a million is statistics'', communists wanaweza kuua nusu ya nchi yote for power, i.e wakishaanza kuuwa huwa hawaachi mpaka mwisho kwa maana inazoeleka, kifo cha kwanza ndiyo huwa kigumu baada ya hapo ni mpaka mwisho, communist siyo kabisa, be safe ...
Mtungi.......... JenisterHii inamaanisha "Siri ya mtungi, aijuae kata." Sasa hapo sijui nani mtungi na nani ni kata????????
Rais wa Mabunge ya Komoniwethi DunianiWakati wengine wakiwa kwenye msiba,tulia yeye katuma kijembe kwa njia ya mafumbo.