Recent content by ProjectPombe

  1. P

    Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    This is very low, yet again, from you! Whatever his citizenship status is, does that take away his right to air his opinion? If you were impartial (which I believe is a big ask to the likes of you) you would have seen SENSE to what Jenerali has written. Take CCM's Manifesto for 2010 GE for...
  2. P

    Msaada haraka

    Umeanza kwa kusema, '..umeolewa na una mtoto...' kisha 'ndoa ni ya kikatoliki'.. kisha. 'mume kaenda kwenye maombi ili afunuliwe kati yako na mchepuko nani mke wa kuishi nae'.. Naona kama kuna mkanganyiko fulani. Nyote ni waumini wakatoliki (kama ni kweli ndoa yenu ya kikatoliki). Kwa imani...
  3. P

    Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

    These are your opinions, not the actual research findings, otherwise it would have been a shared opinion. Someone asked for a definition of "warembo". I bet you have your own definition of the word. Important: next time use the other version of your 'English', it is more 'appealing':smile-big:
  4. P

    Mfanyakazi wa ndani yatima, amenusurika kifo kwa kunywa sumu kwa mateso

    BASHADA, I wish you all the best in assisting this girl! Mungu akutangulie wewe na familia yako katika kutafuta jinsi nzuri ya kumsaidia. I once did some consultancy work in Tanga visiting certain public secondary schools... I met quite some cases of similar nature, pitiful sites of orphans...
  5. P

    Ujana maji ya moto,msaada kwenye tuta tafadhali...

    Life has a cunning way of paying back! and it doesn't wait until you are dead, either! If you indeed abandon this innocent baby and her deeply hurt mother, be readily willing to receive what life has in store for you. The past will eventually catch up with you someday! PP
  6. P

    Mdahalo: CCM, Serikali Mbili, Azimio La Arusha

    Faiza, You are negatively critical of Mwl. in all your postings. which takes away any creative thinking on your part. You are making massive attempt (and poorly at that) to reduce his stature to that of the likes of Mobutu, Gadafi, et al. You may dislike Mwl and you are entitled to your...
  7. P

    Vijana acheni chipsi yai: Kula dona dagaa ujenge heshima kitandani

    Jembe Africa! Huko Entebe, Mbarara yapo haya? :eyebrows:
  8. P

    Mama ni mgonjwa

    Miss Strong, Poleni kwa kuuguza. May the Almighty guide you to the right medication and grant her the healing, so we pray! PP
  9. P

    Mwigulu Nchemba - wananchi hawana imani na uteuzi wako/Asha Rose Migiro-anaonekana katumwa

    The presidential institution is being openly insulted, more so in this era! Very sad indeed! PP
  10. P

    Mtoto wa Mke wangu: Sheria inasemaje?

    Kwanza lazima nikiri wewe ni moja ya wanaume wenye moyo sana. Wanaume wengi hilo la kulea mtoto wa kiume toka 3yrs to Sec school ilihali baba mtoto yupo na anauwezo lahitaji moyo sana tu. Tatizo ni pale ambapo wewe ulifanya hivo ukidhani mkeo atakuwa 'Yes boss' kwa kila hitaji lako. Haiwi hivo...
  11. P

    Kwa nini nahemahema sana nikimaliza?

    Mkuu... Hizo dalili mbaya.. wahi hospitali utashauriwa hasa kuhusu uwiano wa uzito wako na urefu wako na overall food discipline... Angalie usifie kwenye K, ni kashfa nzito usiombee... utazikwa kwa 'soni'! PP
  12. P

    Amatus Liyumba ashinda kesi

    Clarification required... Kesi ya kukutwa na simu gerezani sio kesi iliyomtia hatiani hata awe gerezani. Kwa hiyo sidhani kwa kushinda kwake kesi ya kutuhumiwa kuwa na simu gerezani kumemfanya kuwa huru?? Wataalamu wa maswala ya kimahakama tujuzeni... PP
  13. P

    Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

    Kazi nzuri u 'Lecturer!!' PP
  14. P

    Eti wanaume wa kabila gani wamejaaliwa neema za mwenyezi mungu?

    Jaber Job, Japo umewafagilia watani zangu lakini Sidhani kama hii makitu inafuata kabila... Ni umbile la mtu alivoumbwa wala haijalishi huyo mtu ni mrefu au mfupi kwa kimo... bahati mbaya sana mimi nina ki-bamia kwa hiyo kwenye league hii ya Boflo tayari mie 'disqualified'!! PP
Back
Top Bottom