Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

Ngoja nami niulize,
Hivi Jenerali Ulimwengu ni mtanzania?

This is very low, yet again, from you!

Whatever his citizenship status is, does that take away his right to air his opinion? If you were impartial (which I believe is a big ask to the likes of you) you would have seen SENSE to what Jenerali has written. Take CCM's Manifesto for 2010 GE for instance, did CCM have the Constitutional Reform Agenda? NO. When the matter came to mention in the Parliament and need to have one, did CCM approve? NO. When the party does NOT have the agenda and subsequently, grudgingly consents to the floating of the Agenda, do you envisage fair play?? You and I are witness to what transpired in the CA, would you call that genuine intention to have an impartial new Constitution? I feel your answer is YES to this and so I comment no further!

PP
 
Njaa mbaya sana. Jenerali Ulimwengu hatakaa kuisifia serikali hata siku moja
 
Siyo mtanzania;
Labda useme ameununua uraia.

MKUU na wewe ambaye eti ni MTANZANIA umefanya nini kwa watu wako ambao hata hawajui mtoto akitoka shule atakula nini? Je wachina ni watanzania? Hawa wanafanya biashra mpaka Kariakoo wakati eti wewe Mtanzania na Serikali yako as if muko kwenye HONEY MOON! Wewe nafikiri unasumbuliwa na kutojifahamu na kutosoma harama za nyakati, basi tuombe nguvu na afya lakini huo UTANZANIA WENU ambao --------- kama kigezo cha kuwa wanafiki na mafisadi una mwisho wake na muda si mrefu!
 
Ulimwengu si mtanzania tunaanzia hapo.

Nyerere alikuwa na tabia ya ku-wagroom wageni kuwasomesha na kuwapa nafasi serikalini na mashirika ya umma na kuishi na watanzania ili wapate uzoefu (Practical experience) wakienda nchini kwao wakatawale na kuishi vizuri kutokana na uzoefu waliopata Tanzania.

Kuna walioweza ambao ni viongozi kwenye nchi zao na mashirika ya umma kwao nchi nyingi tu kama za kusini mwa afrika,kenya,sudani,uganda, Rwanda,burundi kongo, nigeria n.k.Lakini kuna walioshindikana kwenye huu mpango nadhani na huyu Ulimwengu ni katika walioshindikana wakambwagwa nje.Na kuna watu wengi walioshindikana ambao wako bado kwenye serikali na mashirika ya umma na nchini ambao wanachojua ni kutukana tu serikali hawajijui kuwa wako kwenye hizo nafasi na wameruhusiwa kuishi nchini ili iweje sababu hawajijui ndio maana operation za swaga wakimbizi haramu wasiojijua zitaendelea hazitakoma.
 
hakuna alichokiandika zaidi ya kudhihirisha kuwa siyo mtanzania, hana uzalendo hata kidogo, aende CHADEMA wampe nafasi ya Tumaini Makene.

Huyu si ndio watu husema eti anatokea pale kwa kaka PK?? au uzee unanisumbua?
 

Ili kuthibitisha kwamba Serikali inaweza kufanya mambo ya hovyo yanayoumiza nchi, sote tunajua kwamba Serikali yetu iliwahi kutoa misamaha ya kodi kwa majumba ya kamari! Unataka kujua nini zaidi kuhusu kinachowezekana na kisichowezekana serikalini.


Itaendelea...

Chanzo:
Raia Mwema
Usisahau kutuletea sehemu ya pili ya huu msumari wa moto...
 
CHADEMA mtabaki kutetea watu kama akina SLAA, ULIMWENGU, GWAJIMA n.k sndiyo size ya upeo wenu wa kufikiri. nini cha maana alichokisema ULIMWENGU hapo.

Ili Dhahabu iitwe Dhahabu ni lazima ipitie kwenye moto-Zitto Kabwe:israel:
Ili mzalendo aonekane mzalendo ni lazima akosoe maovu inayotendewa nchi yake.
 
Ngoja nami niulize,
Hivi Jenerali Ulimwengu ni mtanzania?

Mnyarwanda huyo, siku za hivi karibuni alikuwa nyumbani, karudi?

hakuna alichokiandika zaidi ya kudhihirisha kuwa siyo mtanzania, hana uzalendo hata kidogo, aende CHADEMA wampe nafasi ya Tumaini Makene.

Ulimwengu si mtanzania tunaanzia hapo.

Huyu si ndio watu husema eti anatokea pale kwa kaka PK?? au uzee unanisumbua?

Jenerali Ulimwengu, born in 1948 in Ngara, Kagera. He got his early education entirely in Bukoba, first at Khamsa Swalawat Muslim Primary School, Kamachumu (1955-1958); then at CMS Middle School, Katoke (1959-1962); after which he joined Nyakato Secondary School(1963-1966) and Tabora Boys’ (1967-1968). In July 1969, after National Service (Nachingwea and Mafinga (January-June) He entered the University of Dar es Salaam where he studied Law, graduating with an Honours degree in 1972.In 2012 he graduated law school of Tanzania
.

my take:prove him wrong..and blame the government for hosting a refugee/illegal migrant and grant him full citizenship rights over all these years.
 
Back
Top Bottom