Recent content by Project Engineer

  1. P

    JamiiForums Tanzania 'Wasomi' Wanawaachia Watoto Wao Umaskini Kisa Kulisha Ndugu Wenye Watu Wazima Wavivu?

    Ila sasa Kuna watu wameaomeshwa na ndugu katika hali kama hiyo unakuta wanalipa au kutoa tu hela.
  2. P

    JamiiForums Tanzania 'Wasomi' Wanawaachia Watoto Wao Umaskini Kisa Kulisha Ndugu Wenye Watu Wazima Wavivu?

    Dah aisee yaani anatumia 25% kutuma kwao.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Niliwahi kwenda kwenye taasisi fulani watumishi wamepaki Range,Prado, harrier anaconda, Vanguard,in short inaonekana wanashindana kuendesha expensive cars
  4. P

    JamiiForums Tanzania 2011 Subaru Forester SHJ - Subaru Mayai - ukitaka isikusumbue fanya hivi

    Ukitaka isikusumbue usiinunue kabisa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

    Hiyo hela kwa wengine ni ya kugongea tu,
  6. P

    JamiiForums Tanzania Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

    -Mademu wa kugonga ni wale wa Riverside,mwananyamala buku5 -Pia usijaribu kuanza kuishi na demu utayumba -bia kwa mwezi kunywa 4 tu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Umepitia Epstein files?Nini kilikuacha mdomo wazi ona hii

    Mfano stori ya ubakaji Clinton ametajwa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Umepitia Epstein files?Nini kilikuacha mdomo wazi ona hii

    Mkuu Fydel, nilienda na mimi kupita pita kwenye mitandao kama Chat GPT,Gemini nk
  9. P

    JamiiForums Tanzania Umepitia Epstein files?Nini kilikuacha mdomo wazi ona hii

    Hizi stori zako kwa 50% ni uongo
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikimuona mwanamke ana miaka kuanzia 40 na kuendelea hajaolewa, inanitafakarisha sana

    most of them walikuwa wanaringa sana wakiwa kwenye miaka yao ya 20/30 sasa hiyo age ya forty hawana uzuri tena kama waliokuwa nao mwanzoni.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mishahara ishaisha ni muda wa Wenye magenge na maduka ya mangi kuwagongea wake zenu na mademu zenu.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

    Aisee hamkukosea
Back
Top Bottom