Unalipwa 500,000 TZS? Jaribu kuishi hivi!

Which massage bro?
I choose to respect you, since your previous comments. I am open to be criticised by by points not noise.
If you are strongly disagree with what I have said, kindly give your points.
If you don't have points kindly get outta this threads, There's a lot of threads there that may match your energy, especially "umeshawahi kula tunda kimasihara"
 
Fungu la 10 ni elfu 50 baba😊
Kuna mtu alichambua akasema ni sehemu ya kumi....kwa hiyo waweza toa 50 inakuwa ni kamili au pungufu ya hapo(ambayo I'm ndani ya sehemu ya kumi)
 
Mshahara ni laki tano kwa mwezi.
Goal: To cut expenses, And save more while investing for long term!
Tuchambue bila hisia.

Monthly Income: 500,000 TZS

Kama unaishi Dar au mji wowote, kama hujajenga mfumo, pesa itaisha kabla mwezi haujaisha.

Hivi ndivyo unatakiwa kuishi kama una akili ya kujenga future.

---

1. Kodi ya chumba ≤ 50,000

Ndiyo. Chumba.
Ndiyo. Uswahilini.
Ndiyo. Shared environment
Ndio, single....

Kama unalipwa 500k halafu kodi ni 250k, tayari umefeli kabla ya kuanza.

Luxury inakuja after discipline, sio starting point!
KWAHIYO KAMA UNALIPWA LAKI TANO NA UNALIPA KODI ZAIDI YA 60K KWA MWEZI, UNAFAKE LIFE!

2. Chakula & Maji = 5,000 kwa siku
≈ 150,000 kwa mwezi

Naam! Ugali tembele, ugali dagaa, wali maharagwe, wali na broiler, matunda ya buguruni, Mayai ya kuchemsha kwa ugali!
Kwenda shopers Supermarkets hii sio hadhi yako kwa sasa!
ACHA KUFAKE LIFE!

3. Usafiri = 2,000 kwa siku
≈ 60,000 kwa mwezi
Sahau kuhusu uber, Sahau kuhusu bolt! Rudi nyumbani kumenoga...daladala, mwendokasi. Umbali chini ya 1 KM tembea, kwanza ukitembea unapata Afya!

Kama una 500k halafu unataka Bolt kila siku, unajidanganya, Yeah UNAFAKE LIFE!

4. Internet = 20,000
Punguza scrolling, hakuna kitu unafaidika kuangalia ndaro na Steve mweusi wakifanya nonsense!

5. Security & City Bills = 5,000
Hii ipo baadhi ya manispaa za Dar, maeneo mengine hakuna!

6. Umeme & Maji = 15,000
Mara nyingi kwenye nyumba za kupanga umeme na maji gharama huwa haivuki hapo.

7. Health (75,000 annually) ≈ 6,300 monthly
You got that? Acha ujuaji kata bima!

8. Mavazi & Misc = 40,000
Kariakoo jinzi elfu kumi, suruali za kitambaa elfu tano.
Wewe unataka kelvin klein jeans ya 40k, Mike Amiri 70k, Jordan 4 za bei ndefu, Ili uonekane, then???
Acha kufake life!

Total ≈ 350,000 TZS

Remaining = 150,000 TZS

NICE!!!.
You saved 30% of your income!, Karibu kuadjust iongezeke!

Allocation yenye Discipline ya kiwango cha Kimataifa au interplanetary level of discipline never achieved even by Alliens!

Emergency Fund = 35,000
Dharula hazina hodi, weka emergency fund ili uwe na peace of mind!

Investment = 50,000
Peleka kwenye stocks. Tulia.
Long-term strategy.

Savings / Capital Reserve = 50,000
Kwa ajili ya biashara ya baadae, kumbuka lazima uongeze source of income! Hivyo kusave kwa ajili ya biashara ni non-negotiable!!!

Tithes = 15,000
Kwa ndugu zangu wa fungu la kumi!
(Kwa wanaoamini katika principle ya kutoa. Hii ni personal conviction.)
Kama huamini, hii pesa mtumie mama nyumbani, au shemeji yetu!

So....

Tatizo si laki 5.
Tatizo ni ego.

Watu wanataka kuonekana wamefika kabla hawajafika.

Ukiweza kusimamia 500k kwa miaka 2–3 kwa discipline:

- Utakuwa na emergency fund imara

- Utakuwa na investment portfolio

-Utakuwa na capital ya kuanzisha kitu

Lakini kama unashindwa sasa, hata ukilipwa milioni 2 utaishi milioni 2.

Income hu-amplify tabia, hairekebishi tabia.

Unahitaji msaada kwenye maswala ya kifedha na uwekezaji?
Wasiliana na mimi PM au tuma Message WATSAPP; +255 737 450 640

Swali la mjadala:

KWA UFUPI SANA, NAOMBA KUWASILISHA!

UNATAKA KUJIFUNZA ZAIDI KUHUSU PERSONAL FINANCE AND INVESTMENT, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA CHINI!
Hapo chini wapi mkuu...mbona hatuoni hiyo channel hapo chini,??
Au chini wepi...yakhee....
 
One day niseme milioni 5...

Baada ya miaka 10 niseme milioni 50...
 
Boom ni 250K mzee hio mambo ya stationary sijui Field ni mara moja kwa mwaka
Boom si elfu 10 kwa siku? Unajua maana ya kipato kwa mwaka? Nazungumzia ukichukua Boom+Starionary+Field kisha ukagawa kwa 12 maana yake ni evarage kwa mwezi ambayo ndiyo around hiyo 500k.
 
I choose to respect you, since your previous comments. I am open to be criticised by by points not noise.
If you are strongly disagree with what I have said, kindly give your points.
If you don't have points kindly get outta this threads, There's a lot of threads there that may match your energy, especially "umeshawahi kula tunda kimasihara"
Thats a big weakness you have shown. You must be a woman
 
Mshahara ni laki tano kwa mwezi.
Goal: To cut expenses, And save more while investing for long term!
Tuchambue bila hisia.

Monthly Income: 500,000 TZS

Kama unaishi Dar au mji wowote, kama hujajenga mfumo, pesa itaisha kabla mwezi haujaisha.

Hivi ndivyo unatakiwa kuishi kama una akili ya kujenga future.

---

1. Kodi ya chumba ≤ 50,000

Ndiyo. Chumba.
Ndiyo. Uswahilini.
Ndiyo. Shared environment
Ndio, single....

Kama unalipwa 500k halafu kodi ni 250k, tayari umefeli kabla ya kuanza.

Luxury inakuja after discipline, sio starting point!
KWAHIYO KAMA UNALIPWA LAKI TANO NA UNALIPA KODI ZAIDI YA 60K KWA MWEZI, UNAFAKE LIFE!

2. Chakula & Maji = 5,000 kwa siku
≈ 150,000 kwa mwezi

Naam! Ugali tembele, ugali dagaa, wali maharagwe, wali na broiler, matunda ya buguruni, Mayai ya kuchemsha kwa ugali!
Kwenda shopers Supermarkets hii sio hadhi yako kwa sasa!
ACHA KUFAKE LIFE!

3. Usafiri = 2,000 kwa siku
≈ 60,000 kwa mwezi
Sahau kuhusu uber, Sahau kuhusu bolt! Rudi nyumbani kumenoga...daladala, mwendokasi. Umbali chini ya 1 KM tembea, kwanza ukitembea unapata Afya!

Kama una 500k halafu unataka Bolt kila siku, unajidanganya, Yeah UNAFAKE LIFE!

4. Internet = 20,000
Punguza scrolling, hakuna kitu unafaidika kuangalia ndaro na Steve mweusi wakifanya nonsense!

5. Security & City Bills = 5,000
Hii ipo baadhi ya manispaa za Dar, maeneo mengine hakuna!

6. Umeme & Maji = 15,000
Mara nyingi kwenye nyumba za kupanga umeme na maji gharama huwa haivuki hapo.

7. Health (75,000 annually) ≈ 6,300 monthly
You got that? Acha ujuaji kata bima!

8. Mavazi & Misc = 40,000
Kariakoo jinzi elfu kumi, suruali za kitambaa elfu tano.
Wewe unataka kelvin klein jeans ya 40k, Mike Amiri 70k, Jordan 4 za bei ndefu, Ili uonekane, then???
Acha kufake life!

Total ≈ 350,000 TZS

Remaining = 150,000 TZS

NICE!!!.
You saved 30% of your income!, Karibu kuadjust iongezeke!

Allocation yenye Discipline ya kiwango cha Kimataifa au interplanetary level of discipline never achieved even by Alliens!

Emergency Fund = 35,000
Dharula hazina hodi, weka emergency fund ili uwe na peace of mind!

Investment = 50,000
Peleka kwenye stocks. Tulia.
Long-term strategy.

Savings / Capital Reserve = 50,000
Kwa ajili ya biashara ya baadae, kumbuka lazima uongeze source of income! Hivyo kusave kwa ajili ya biashara ni non-negotiable!!!

Tithes = 15,000
Kwa ndugu zangu wa fungu la kumi!
(Kwa wanaoamini katika principle ya kutoa. Hii ni personal conviction.)
Kama huamini, hii pesa mtumie mama nyumbani, au shemeji yetu!

So....

Tatizo si laki 5.
Tatizo ni ego.

Watu wanataka kuonekana wamefika kabla hawajafika.

Ukiweza kusimamia 500k kwa miaka 2–3 kwa discipline:

- Utakuwa na emergency fund imara

- Utakuwa na investment portfolio

-Utakuwa na capital ya kuanzisha kitu

Lakini kama unashindwa sasa, hata ukilipwa milioni 2 utaishi milioni 2.

Income hu-amplify tabia, hairekebishi tabia.

Unahitaji msaada kwenye maswala ya kifedha na uwekezaji?
Wasiliana na mimi PM au tuma Message WATSAPP; +255 737 450 640

Swali la mjadala:

KWA UFUPI SANA, NAOMBA KUWASILISHA!

UNATAKA KUJIFUNZA ZAIDI KUHUSU PERSONAL FINANCE AND INVESTMENT, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA CHINI!
Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
IGWE
 
Back
Top Bottom