Hata najua basi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 1,606
- 3,132
Heh mbona hii ni
hatari
hatari
Dunia ina mengi usikute hizi ni kamba tu na kuongeza chumvi propaganda za jeffMkuu ni uhalisia
Mkuu samahani hapo kwenye picha wanamfanyaje huyo?
Mambo ya mudi boy hayo 😁😁😁 epstein wa Tanzania ni ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE...Wapo watz wapumbavu na maanithi wa akili walikuwa wanamtetea ROSTAM eti ni mfanya biashara 😁rostam hafanyi biashara yoyote ni MUHALIFU MKUBWA SANA WA KISERIKALI... Kaua sana watu nchini.Ushakumbuka ile ishu ya dalai lama kumnyonya mate mtoto?
Jambo usilolijua wewe usiseme ni uongo bali tafuta facts uuthibitishie ubongo wako.Hizi stori zako kwa 50% ni uongo
Yote haya ulimwengu wa wazi usingeyajua haya kama US Senate wasingepitisha sheria ya kuyaachilia files zote zinazomhusu huyu jamaa. Wamerekani wametusaidia sana katika kuufahamu mtandao wake, secret societies na top government officials wa nchi mbalimbali na wafanyabiashara wakubwa waliokuwa wakishiriki katika mambo yote haya ya kishetani.
Video za AI tu jamaa anaziaminiHizi ni nyaraka za mitandaoni tu ,hakuna kitu kama hicho
Du! Hii dunia ni ya kishetani hasa! Huenda dunia halisi iliyoumbwa na Mungu sio hii....hii tuliyomo iliumbwa na shetani.MAMBO MACHAFU YALIYOVUJA KWENYE EPSTEIN FILES UKISOMA YATAKUSHANGAZA
Najua wengi mmeona sana hii kitu ikitrend bila kujua ninini?
EPSTEIN FILES NININI
Epstein files ni mkusanyiko wa mamilioni ya nyaraka za mahakama, barua pepe, picha, na ushahidi wa uchunguzi unaohusiana na mfanyabiashara Jeffrey Epstein, aliyefungwa kwa makosa ya biashara ya ngono na unyanyasaji wa watoto. Nyaraka hizi zilizotolewa na Idara ya Sheria ya Marekani zinaorodhesha majina ya watu mashuhuri wa kisiasa na kijamii waliokua wanashiriki katika hayo mambo, baada ya kutoka kwa hayo mafaili yameiacha dunia mdomo wazi huku viongozi wakubwa,wasanii mashuhuri duniani wakitajwa katika hizo nyaraka ni zikionyesha uchafu mkubwa wa viongozi na watu maarufu duniani na kuuacha umma kinywa wazi kwamba kweli hii dunia inaongozwa jamii za siri za kishetani na kwamba viongozi wengi na watu mashuhuri hufanya kafara za watu na uchafu wa kila aina ili kutimiza ajenda za kishetani duniani....Epistein files inaonyesha ni jinsi gani dunia imejaa watu waovu na wadhambi, pia inadhihirisha kuwa vitu vingi tunavyoviona kwa macho ya kawaida sio halisi au watu tunawaona kama vioo vya jamii au marole model wetu au wakuigwa mfano ndo watu waovu kupindukia nyuma ya Pazia
HUYO EPSTEIN NI NANI
jeffrey epstein
alikuwa mfanyabiashara myahudi, tajiri wa Marekani na mwenye Uraia wa Israel pia mfadhili, na mhalifu wa kingono aliyejulikana sana kwa kuendesha mtandao wa usafirishaji wa wasichana wadogo kwa ajili ya ngono na kafara. Epstein alikuwa na uhusiano wa karibu na watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani, wakiwemo wanasiasa, wafanyabiashara, wasomi, na wanafamilia wa kifalme.Pia Epstein alikua akiwarecord na kutunza hizo nyaraka za watu maarufu ili kujawablackmail baadae (Yaani unakua na file la mtu chafu ukitaka chochote kutoka kwake unamtishia kwamba utavujulisha ispokua akupe unachotaka) hii ndo ilikua tabia ya Epstein.Ni pia alifanya kwa Maslahi ya Israel kwani Jeffrey Epstein alikua kachero/Jasusi wa Shirika la Ujasusi la Israel Mossad.Pia jeffrey alifanya haya kwa niaba ya Israel ili kuwablackmail na kuwakamata katika mtego wa utumwa viongozi Wa Ulaya na Marekani na dunia ili waweze kuncontroliwa ili wafanye kazi kama vibaraka wa Israel kwa hiyari yao au kwa lazima maana usipotimiza anaachia mafile yako machafu....Sio tu wanasiasa hadi wasanii na watu maarufu karibia Duniani kote walikua washirika wa Epstein mfano Lady Gaga, Pdidy, Benyonce, Jay Z na wengine Wengi ni miongoni mwa mamia kwa maelfu ya watu waliokua wanahudhuria kwenye hizo shughuli za bwana Epstein kisiwani kwake ambapo shuguli za ushoga, kulawiti, kuua watu,kula nyama za watu,ibada za kishetani zote zilikua zinafanyika katika kisiwa cha Bwana Epstein.
Epstein alikua anamiliki kisiwa chake binafs cha kufanyia hayo mambo kilichokua na ukubwa wa hekari 165 ambapo huko alijenga majumba, mahotel mahekalu, na ulinzi mkali kwa ajili ya kufanyia hizo mambo.
Pia Epstein alinunua mamilioni ya lita za Acid na kemikali mbalimbali za kuyeyushia miili baada ya kafara kama njia ya kuficha ushahidi.....Kwa takwimu ndogo tu watoto zaidi ya elfu 10 walipelekwa kisiwani hapo kwa ajili ya shughuli hizo za kafara na ngono na kitoweo, Epstein alikua na mtandao wa kukusanya watoto na mabinti duniani kote kwa ajili ya kazi hizo kupitia mashirika binafsi na baadhi ya NGO's za kimataifa kupitia mgongo wa kujifanya kuwasaidia watoto na mabinti
Wangapi mmepitia na kuzisoma Epistein files?Nini kimekuacha mdomo wazi? Mimi ni mengi lakini ni haya hapa
1.Watu kula nyama za watoto wachanga
2.Bush mkubwa kumlawiti yule kijana mdogo halafu at the same time kuwa nyama ya utumbo wa mtoto mdogo. Sasa ndo nikaamini kwanini Barbara bush mke wa Bush mkubwa alikua ni mwanaume transgender.
3.Hillary Clinton ndo mwanamke muovu zaidi duniani, yeye alikua anawachukua watoto wadogo wakike awatahiri na kuwakata vi**mi huku akifurahia wanavyotokwa na damu hadi kufa.
4.Asilimia kubwa ya viongozi wakubwa wa duniani walikua wanapractise "Cannibalism diet"yaani diet ya kula nyama za watu.
5.Epistein alikua na mabinti wadogo ambao alikua akiwatia mimba wakishazaa tu anachukua vichanga anavitolea kafara
6.Email moja ya Epstein's inadai biden alikufa tokea 2019 huyo aliepo ni mtu aliyefanana nae
7.Tajiri Bill Gates kupitia Epstein alipata magonjwa ya Zinaa baada ya kuwabaka mfululizo mabinti wadogo kutoka Urusi walioletwa katika kisiwa cha Epstein na kupitia email alionekana kumuomba epistein amfanyie mpango wa Dawa za Std's na ambazo atamuwekea mke wake Mellinda Gates ili atumie bila kujua maana alijua kabisa ashamuambukiza mkewe.Kumbuka huyu huyu bilgate anatengeneza dawa na chanjo ila zake hatumii yeye binafsi
8.Wolper Winfrey alitembelea kisiwa cha Epstein zaidi ya mara 17.
9.Kiongozi wa Tibet dalailama ni mshirika muhimu wa Epstein na mshauri wake mkuu.
10.Ishu ya Covid-19 tulipigwa Epstein na Billgate wanaonekana wakijadili ishu ya kuleta covid miaka ya nyuma kabisa kama mradi wa kupiga hela, at the same Billgate alikataa yeye na familia yake wote hususan watoto wake wasichanjwe kabisa!!
11.Watoto wengi wachanga wengi waliokua wanahitajika kwa ajili ya kafara na kulawitiwa ni watoto weupe watu weusi walitumiwa kwenye project iliyokua inaitwa "Human hunting for sports" hii ni kuwa mabilionea wakubwa walikua wakienda kisiwa cha Epstein ambapo walikua wakipewa silaha then wanawawinda na kuwalenga watu weusi kwa kuwamiminia risasi kama nyenzo ya kujifurahisha na kujifunza kulenga shabaha (Sniping)
12.Ghislaine Maxwellmwanamama myahudi ndie alikua anamsaidia Jeffrey Epstein kukusanya watoto na kuwasafirisha kiharamu...Pia bi Ghislaine Maxwell alikua akiwatesa watoto katika kisiwa cha Epistein kwa kuwapiga na shoti ya umeme huku akifurahia kama starehe na kuwarekodi
13.Boss wa kampuni DP world ambayo ipo hapa nchini, naye ni mshirika mkubwa wa Epstein ambapo alikua akihudhuria hafla mbalimbali kisiwani hapo na kushiriki na kuwaua watoto, yeye binafsi mazungumzo yake na Epstein yailivuja yakimuonyesha akifurahia kuangalia video za watoto wakifanyiwa ukatili na mateso mazito..
14.Hillary Clinton na mumewe Bill Clinton ni washirika wakubwa wa Epstein..Bi hillary ndie mwanamke muovu kupita kiasi kwasasa hapa duniani kwani ametajwa kukitembelea kisiwa cha Epistein zaidi ya mara 50!! Na ndo mtu aliyetajwa pia zaidi
15.Story za kutisha kupitia Epstein ni pamoja na kafara za damu, kula nyama za watu, na kuvuna viungo vya binadamu.
16.Billgate na Epstein walikua wakijadili ni namna gani wanaweza kuwaua masikini wote duniani, kupitia emails zao walichat kwamba watafanyaje waweze kufuta kizazi cha masikini wote duniani (How to get rid of poor)..Pia bilgate alijinasibu kwa kuigeuza india na wahindi kama panya wa majaribio ya chanjo na bidhaa zake za kumaliza idadi ya watu duniani.Jamaa aliwachukulia wahindi kama panya wa maabara.
7.Faili mpya za Epstein zinaonyesha kwamba Leonardo DiCaprio alikula zaidi ya pauni 70 za "nyama ya watoto" kama sehemu ya diet yake ya nyama ya watu. Faili hizo zinafichua DiCaprio akichat kwa email Woody Allen ambapo anajivunia kuwa mla nyama za watoto wachanga.Sote tunamjua Leonardo dicaprio kuwa ni mwigizaji maarufu wa Hollywood.
NITAENDELEA....View attachment 3547131View attachment 3547132
Sasa hizi files zako mbona hazifunguki mkuu au nawe umejifanya Epstein umezipiga pin?😂🤣😂NITAENDELEA....View attachment 3547131View attachment 3547132