Nikimuona mwanamke ana miaka kuanzia 40 na kuendelea hajaolewa, inanitafakarisha sana

Nikimuona mwanamke ana miaka kuanzia 40 na kuendelea hajaolewa, inanitafakarisha sana

Hilo kundi la kuanzia 40 sasa hivi ni weengi linazidi hao wa 30 naona hao wa 30 wamehamia 40 aisee ni wengi hadi nachoka.. miaka ile ya 18,19,20 walikua wanafanya nini?
Walikuwa shule na vyuoni
 
most of them walikuwa wanaringa sana wakiwa kwenye miaka yao ya 20/30 sasa hiyo age ya forty hawana uzuri tena kama waliokuwa nao mwanzoni.
 
Kiukweli mwanamke kama unajiweza achana na habari za ndoa, ndoa ni matesooo especially za hawa kenge wa ki africa &$$*%
 
Kiukweli mwanamke kama unajiweza achana na habari za ndoa, ndoa ni matesooo especially za hawa kenge wa ki africa &$$*%
Tatizo la wanawake wa kiafrica wanapata malezi ya kuwa andaa kuwa omba omba...
Natamani wazazi walitambue hili...
 
Kwahiyo mnateseka tukibaki bila ndoa?

Hivi kwani ni lazima kukaa na furushi ili tupate title ya ndoa?

Mimi kama m/kiti wa wasimbe JF hatutaki ndoa endeleeni na mishe zenu..!! Ebooh!!
 
Tatizo la wanawake wa kiafrica wanapata malezi ya kuwa andaa kuwa omba omba...
Nsatamani wazazi walitambue hili...
Tatizo wanaume wa siku hizi you want it all, unataka msaidiane kwenye majukumu na bado usujudiwe kama mwinyi vitu ambavyo haviwezekaniki kabisaaa,
Si unaona huko ulaya kwenye 50/50 kulivo na mbiringe 😃
 
Wewe umeishi Ulaya Nchi gani?
Mimi nilikuta Wanawake wa Kizungu wanafanya majukumu ya kawaida ya mwanamke kupika nk na bado ikifika kipato wanashirikiana. Tena mwanamke wa Kizungu hata akizidi mwanamme kipato; wanaishi poa na mumewe anaishi kama King huku Bongo, mwanamke akishinda kipato, kinachofuata ni talaka au kupelekeshwa kama house boy
Tatizo mnafikiri hawa wazungu wa kwenye maigizo ya TV ndio wanawake wa kizungu....
 
Wewe umesishi Ulaya Nchi gani?

Acha kujidanganya mkuu! Hata nature inakataa, ili mtu awe obedient kwako lazima uwe na some kind of power over that person, and you somehow loose that power kama na yeye ana uwezo wa kufanya unachokifanya.
Hatuwezi wote kutoka kwenye a 12 hour shift,nikifika nyumbani utegemee shughuli zote za nyumbani nifanye mimi, lazima kuwe na mgawanyo wa majukumu ya nyumbani kama tunavogawana expenses na hapo ndo african men wanapoona uanaume wao unajeruhiwa 🤣 au unataka tu split kodi halafu unataka niwe nyumbani saa 10 jioni you can’t have your cake and eat it!
 
Wewe unakuwa mfano wa wanawake wengi wanaotanguliza malalamiko (kelele) kwa waume zao badala ya kutumia nafasi zao kutafuta suluhisho la changamoto na kutengeneza ndoa zao.......

Mfano: Kama wote mnatoka kutafuta ina maana mnakipato; sasa kwa nini wewe kama mshauri wa familia usishauri muweke dada wa kusaidia hayo majukumu yanayo kukera Kuosha vyombo, kudeki, kufua nk?

Msikariri malalalamiko ya kudai usawa na hata kwa yale yanayo hitaji suluhisho kwa kutumia akili ya darasa la pili.... mnafanya vipato vyenu viwe kero kwa familia badala ya kuwa faraja kwa familia.....
 
Unashangaa nini? Achana na maisha ya watu fanya yako! Af inaonekana huyajui maisha vizuri ndo maana unashangaa!!
 
Kuolewa sio sheria.kwa hiyo sio Kila mwanamke lazima aolewe , muhimu nikukubaliana na Hali ,hakuna kulazimisha kuolewa pambana tafuta pesa tafuta dume Moja zaa injoi maisha lea mwanao. Usifanye kitu kuwafurahisha walimwengu wakati roho yako haifurahii
 
Kila mtu ana safari yake binafsi ya maisha na malengo tofauti
Unakuta mtu anajishuhulisha na masuala ya elimu, kazi, na kujijenga binafsi vitu ambavyo ukiamua kukomaa sana vinakunyima muda wa mahusiano unajikuta at 35 upo financially vizuri tu lakini Kila mwanaume anakuogopa na hapo hukuwa na strong relationship nyuma zaidi ya one night stand na tena unafanya kwa ajili tu ya nature

Sio wote wanatabia mbaya
Hamna mwanaume anaye muogopa mwanamke msomi/mwenye hela, ndio maana wanagongwa na kutongozwa ,ila likija swala la kumake decision ya kuoa, wanaume huwaga hangalii unaelimu kiasi gani au unahela kiasi gaini au uzuri. Mara nyingi atarudi kwenye heshima na utii, tunawashuhudia wadada kibao huko makazini wana hela,ila wanavyo funuliwa na wafanyakazi wenzao, waume za watu, vimario nk hawaogopwi kutongozwa, ila wengi wao wanakiwa less favorable likija swala la mke bora.

Na wengi waa ndio hujaga kuwa kimbilio la vibeni ten na wanaume wanaopenda kulelewa na wao kwa ndio huendesha mahusiano kiuchumi, fuatilia mishangazi hii ya mjini wengi wao kiuchumi wapo vizuri, walijariu kutafuta wanaume wa maana baada ya kushindwa ndipo huamua kuangukia kwa kijana mpenda slope.

Ila hamna mwanaume anaye muogopa mwanamke kisa yupo financial stable/elimu kubwa/mzuri sana hayupo, ila wengi wao wanaattitude mbaya ndio maana huishiwa kuchezewa.

Mfano ukifuatilia Podcast nyingi haza za ulaya wanzo zungumzia maswala ya kijamii, utagundua sio Africa hata ulaya kuna lundo la wanawake kibao ambao 30+ wanatafuta ndoa kwa nguvu ndio maana,US kuna party zinaandaliwa special kwa ajili ya kutafuta wenza ,ila zaidi ya 90% wanao hudhuria ni wanawake na tena wanalipia na wengi wao financial wapo vizuri, hiyo haitoshi China napo ni hivyo hivyo, tena China kuna mwanamke bilionea yeye anakiwanda cha fenicha age yake 38,kila events yupo, yupo kwenye dating website na anafahamiana mpaka na wamiliki ila wapi bado hajapata mume,niliona kuna dada mmoja coder,anaapps yake inafanya vizuri programmer mzuri na bbl kafanya bado anangaika kutafuta mume, kunamwengine anaaprtment mbili China anamiliki magari makali bado anatafuta mume.

Hakuna kitu kibaya kama upweke, ndio maana vibibi vya ulaya huvichukia vijana wa Africa vikaishi navyo,hawa wakina Shilole, Aunt,Kajala, Uwoya,Wema nk,msione wanapenda kujiweka kwa vijana na siku mahusiano hayo yanazidi kukua na ishakuwa kawaida na bodaboda na madereva bolt na ubber wamechangamkia fursa.
 
Wanawake wanapigwa sana matukio na wanaume wasio waaminifu. Kutokuolewa mpaka miaka 40 sio kwamba mwanamke ni mbaya wa tabia au sio mtulivu.
Wanapigwa matukio, ila baadae umri ukienda hujikuta wanakuja kuwa michepuko.
 
Ni maadili ya dini na imani kwamba kunyanduliwa kabla ya ndoa ni dhambi. Sasa unakuta mtu anasubiri mpaka aolewe ndio anyanduliwe. Anagonga miaka 30, 40 hadi 50 anasubiriaga wa kumuaoa. Anakuja kubahatisha libaba liliofiwaga na mke anakubali kuolewa nalo. Anaolewa lakini anakuwa hazai kwa kuwa ameshafikia ukomo wa mayai kutunga mimba, basi anabaki mke wa kusuguliwa tu!
 
Kuna demu yuko vizuri kajaziajazia ana mshedede nyuma umejaa vema tu, alipoona umrii umeenda anakaribia 30 akajiachia kwa waume za watu ili apate watoto walau wawili na akazaa kweli analea mwenyewe. Alisema hawezi kusubiri aolewe ndio azae. Wengine huchelewa kuolewa sana kutokana na shepu na sura zao kutokuwa na mvuto wa kimahaba. Hata hivyo kuna wanaume ambao hawaonagi dosari kwa mwanamke, wao hufikiria kuingiza mtulinga mbunyeni tu, hawachagui sura na shepu. Sura na shepu ndio mpango mzima kwa wanaume wanaojua falsafa za mapenzi.
 
Inanitafakarisha sana hii

Yaani huwa najiuliza maswali mengi sana nikiona mwanamke wa hivyo miaka 40, 45, 47, 49, 50 huna mume na hujawahi hata kuolewa hata mara moja yaani hata mara moja kwenye CV yako ya mahusiano

Najiuliza huko ukiwa na miaka 20 na 19 na 18 ulikua unafanyaa nini?

Why? Kwanini?
Ni wale waliokuwa wanauliza namba zangu umezitoa wapi? Na kufyonza juu
 
Back
Top Bottom