Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

Ukimkopesha Pesa Mwanamke ujue umeliwa

Ukitaka salama usimkopeshe mtu yeyote pesa; utaishi kwa raha mstarehe bila kuwa na maadui ama sivyo pesa unayokopesha itakutengenezea uadui na hao unaowakopesha!!
 
Mm kwa mara ya kwanza ntakukopesha na sitokudai usipolipa bas sahau mkopo wangu kwa mara nyngne.
 
Mm kwa mara ya kwanza ntakukopesha na sitokudai usipolipa bas sahau mkopo wangu kwa mara nyngne.

hivyo ndio inavyotakiwa...

nilipokuwa sekondari kuna binti aliomba nimkopeshe hela..daaa haraka sana nikampa mda huohuo, akajifanya kasahau deni hakunilipa, nikampotezea lakini niliazimia kuto kumkopesha tena hata awe na shida... na aliwahi kupata shida(alipoteza kitabu cha mtu) alidaiwa sana, nadhani alitamani sana ajitokeze mtu wa kumkopesha tena tena najua alinikumbuka ila deni dogo tu lilimnyima uhuru...
 
Duu mimi kuna mmoja kaomba nimkopeshe mama yake anashida atanirudishia jnne! Unanitisha mkuu
 
Kuna demu nilimkopesha 2m toka mwezimwa tisa mwaka jana yaani ananizungusha sijawahi kuona...

ukikokesha kienyeji utadhulumika,lkn ukikopesha mbele ya mkeo ama mpnz wako...hahahaaaa mda ukifika lazima atato tuu
 
We f@l@ hunitishi kwa lolote, katatue mgogoro wa wazee wako huko kwenu... ukiweza njoo kwangu

hahahahahahaha.....nnya ishaanza kusukuma chup! umekimbilia kwenye profile yangu!....teh teh teh
we huwezi jua hiyo maneno,muulize mamaako alokuwa anatuuzia nyabe pale DDC Kariakoo anaujua vizuri huo wimbo!,halafu uje uendeleze matusi yako choko wewe!
 
Mara zote ambazo nimekopesha mwanamke huwa nililipwa kabla sijadai, huwa nikikopesha mwanamke lazima wanilipe, hawa watu ni waaminifu sana, hasa akijua anamkopa mtu ambaye ni jinsia tofauti.
 
Back
Top Bottom