Recent content by Profit_Habari

  1. Profit_Habari

    SoC02 Ipo haja ya kuja na mfumo unaowezesha kupata huduma za pesa za mitandao ya simu mbalimbali kwa pamoja

    Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao. Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na tasisi ya kimataifa ya GSMA Intelligence ilionyesha kuwa Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya...
  2. Profit_Habari

    Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono

    MHADHIRI WA CHUO CHA U-DOM ASIMAMISHWA KWA RUSHWA YA NGONO Chuo Kikuu cha Dodoma kinapenda kutaarifu Umma kuwa mnamo tarehe 25 Oktoba, 2021 kilipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za tuhuma dhidi ya Mtumishi wake ndugu Petrol Bazil, Mhadhiri Msaidizi juu ya kujihusisha na rushwa ya ngono...
Back
Top Bottom