Recent content by Professor of jungle

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Huyu anajifurahisha sana. Aifananishe Mbeya na tabora huko. Ila kuifananisha na dar ni kujitoa akili. Mwambie aendelee kuish mabatini
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Watu wa Mbeya uwa wanahisi Mbeya iko level moja na dar ndio shida yao. Kwa sisi ambao tunaijua Mbeya na dar Kwa ukaribu. Dar ushwahilini huwez kuta nyumba ya tope ila Mbeya no sheria, wanasema udongo unasapoti.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Nimekaa dar nimekaa Mbeya, kama dar kila mtaa kunanuka basi Mbeya itakuwa Mara 10 yake. Ukipita ilemi Darajani pale msimu wa kiangaz maji yakiwa machache unapata picha na ile harufu ya maji wa ule mto, ile harufu ya kufungulia kinyes huwez ikuta DSM sheikh
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Nimekaa Mbeya miaka 3 Mara ya kwanza nafika mwenyeji mwangu akanifikishia ilemi nikasema duh huku tena siwez ishi kabisa. Miaka 3 ikaisha nimepanga ilemi na sikuwa na mpango wa kuhama, nilikuwa narud mida mibovu pqmoja na sifa za ukabaji ila sijawah hata kutishiwa kukaba. Veta,ituha, isyesye na...
  5. P

    JamiiForums Tanzania I think my heart is dead

    Merry wa uyole Nishakula sana nae bata hapo universal ila mm nilipiga nikapotea,simpi moyo malaya
  6. P

    JamiiForums Tanzania Stori Tata Ya Mtaani

    Tuliosoma boarding school na tunaoga mtoni hatuoni tatizo.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada Niweze kuacha Kamari ya Aviator, Maisha yangu hayaendi vizuri, Kamari hii Inataka kunitoa Roho

    Dha wakamalizia akili zinafanana. mimi nikipigwa vipigo vizito nyeto lazima nipige ndio nilale. this life sucks a lot
  8. P

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 3-0 Fountain Gate l NBC Premier League lBenjamin Mkapal 25 September 2025

    Team ina wachezaji 11 kolo anashinda 5
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumpata mganga mzuri wa kuinua nyota na kufungua riziki kiuchumi

    Mimi naomba unielekeze novena ya mt ritha kama ikikupendeza. Nataka niachane na roho ya kamari imeshanipa umaskini na madeni, bado haitak kuniachia nahisi inataka na kuchukua maisha yangu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania UFUKARA UKIWA Early 30s SIO Poa, I am not sure if I was destined to live like this!

    Duniani hukuja na kitu n hutoondoka na kitu mbona unjipa umuhimu hvyo. Ila muhimu kaza mm na umri wqngu wa 35, sina nachojivunia kweny material things zaid ya mashine tu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

    Unapiga mitungi? Mimi nilishaacha piga mzigo nikiwa mzima, nikipiga tako kadhaa wazungu hao. Nikiwa nashow lazima Nile masanga yakutosha hapo nikiingia kwenye show no mwendo wa mauno ya paka tu.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ulikutanaje na rafiki yako ambaye kwa sasa ni kama ndugu yako

    Mwanangu mmoja tulikutana chuo ila mwana sana kaniokoa vipengele vingi sana kaniita vyumba vingi vya fursa.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwa Kutumia Numerology Simba Kesho itashinda

    😀😀
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nakula mzigo, nahema sana

    Anza kupumliwa ili upate pumzi
Back
Top Bottom