I think my heart is dead

I think my heart is dead

Hicho kipigo cha mapenzi ni kawaida katika maisha,don't make it personal. Kwani wewe ulishaumiza wangapi kabla ya kukutana na jini Merry?

kwenye cycle ya safari ya mapenzi ni kawaida kuumiza na kuumizwa,28 years ni umri sahihi kabisa wa kupitia heartbreak kubwa. Imagine hii changamoto ikukute in your late 50's ,unakuta kabisa kwa sababu moyo ni dhaifu.

Muda ni dawa ya heartbreak,utapata mwanamke mwingine na maisha yatasonga. Aliyekuumiza ni Merry jitahidi kutomtumia Merry kuwahukumu wanawake wengine. Ule graduate with distinctions kutoka heartbreak university 🍻, Merry sio wanawake wote.
 
Pili umetufelisha wanaume wenzio, umewezaje kuishi na marry miaka yote hiyo hadi mnaachana hana ata mtoto wako.

Mie nimpendae ndani ya miez mitatu namwesabia siku zake za period ili nimpge tukio ujanja umwishe.
Hata ikija tukaachana haniiti dear ex, Bali ataniita baba D
 
Anaombwa picha alivyo mshenzi anatuma video kweli huku ni kijirahisisha mnoo
Mrembo merry mera
 
Anaombwa picha alivyo mshenzi anatuma video kweli huku ni kijirahisisha mnoo
Mrembo merry mera
Urembo wote kwisha habari sasa hivi amechoka kabakisha kujichubua tu wakati ukicheck picha zake za utoto ni mweusi km pipa la lami
 
Back
Top Bottom