Wazo Murua (Kiswahili fasaha?) kuhusu kukopesha wakulima wa korosho bila riba, nashauri pia hata mazao mengine ya biashara, wakulima wawezeshwe. Ingawa nilipoona kuhusu "tafakuri", nilitarajia kusoma andiko pana na lenye kila aina ya uchambuzi na udadavuaji, ajenda ikiwa zao la korosho...