Yasadikika kuwa masikio yako yanachagua vya kusikia! kama hukuchelewa kuangalia habari hiyo. Hayo yalitamkwa na Rais mwenyewe, kisha Nchimbi akaendeleza kukazia! Duh! UNAZI NOMA jamani! unakataa live! Mtanzania kweli wewe?
Unaleta ufasist! kama mdau wao sema! si kukataa! mimi mwenyewe nimeamua kuacha kutumia hiyo voda, ni wezi kweli! unaunga cheka, unaambiwa huna salio la kutosha! wezi! wezi! wezi! tena mno! mara nyingi sana!
hawa watu ni waajabu sana ndugu yangu! Wanagawa wilaya, kata na vijiji kusogeza huduma! Nenda kawaambie sasa tunataka huduma zije! Wanasema bajeti ya serikali haitoshi, tanzania masikini! Sasa wanapogawa hayo maeneo ya utawala kwa hoja ya kusogeza huduma, hawajui kuwa hakuna pesa za kutoa huduma...
makundi ndani CCM ni kanuni yao! Kwani bila makundi hawawezi kupata wanotaka waendeleze ufalme wa kiCCM! Hapo sasa tunachokifahamu ni yaleyale aliyetoa pesa nyingi za kutetea chama na si wananchi! Kwani mkimchagua ninyi wanambeya mjue lazima aanze kuchanga zake kwanza alizotoa Rushwa! Waulize wa...
Huyu Jamaa ni Tapeli haswaa! Nina miaka zaidi ya mitatu nakutananaye mara kwa mara baraba ya Mandela ubungo kuelekea chuo kikuu UDSM mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu hapa chuo-UDSM, hivyo namjua sana tu huyu jamaa ni Tapeli wa ukweli tu! Hupendelea sana maeneo ya mkusanyiko wa watu wengi...
Ni ukweli siupingika! ila nafahamuvyo Watawala wa TZ watasema wanadharalishwa! wakati ndivyo ukweli ulivyo! watupe data za Bajeti yao ili tumkanushe huyo Kenyatta!
Wataisoma Plate number ya CDM na M4C 2015, kama wanabisha wasubiri mwezi ujao kwa maana sasa umebaki mwezi tu kufikia huko! 'abda wakishinda kesi za Kuwakataa walimu kuwa wasimamizi wa uchaguzi, pia kesi feki za Kigaidi, na hata Udini wao wa CCM , pengine wanaweza kufika hata kwa Toroli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.