Nchi hii tuendako idadi ya mikoa itakuwa sawa na makabila.

Nchi hii tuendako idadi ya mikoa itakuwa sawa na makabila.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Nimekuwa natafakari sana huu mtindo wa kuanzisha mikoa na wilaya pindi watawala wapendapo itatufikisha pabaya. Kwa kuwa tuna makabila zaidi ya 120 basi huko tuendako tutafikia idadi sawa ya mikoa. USA ina states kama 50 tokea uhuru na pana state moja ukubwa wake sawa na nchi yetu, sijasikia wakigawanya eti KUSOGEZA maendeleo kwa wananchi. Hili liwekwe kwenye katiba idadi ya mikoa/majimbo.
 
Bila kufanya ivyo watalindana je pindi wanaposaidiana kwenye kampeni? Kwayo wakuu wa mikoa na wilaya ni fadhila toka kwa rais akidhani anajenga kwa kuwatengenezea kipato rafiki zake kumbe ndo anaangamiza taifa
 
Hahahahaaa! =makabila?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
this will be the worst newz i ever heard for my region! Jamani kama wameishiwa vitengo vya kupeana, waanze kugawana pesa zao za Uswiss! Mbeya hatataki kugawanywa!
Nyie kaeni mkao wa kugawanywa!! Na mkuu wa mkoa unajua atakuwa nani? CCM ni janga katika nchi hii na nchi nyingi za kusini mwa bara letu. CCM ikiondoka madarakani nchi nyingi zitapumua nawaaambieni.
 
this will be the worst newz i ever heard for my region! Jamani kama wameishiwa vitengo vya kupeana, waanze kugawana pesa zao za Uswiss! Mbeya hatataki kugawanywa!
Mkuu, watawala wakiisha amua jambo lazima litafanyika tuu. Yaelekea ni aksante Mwandosya hii.
 
Hahahahaaa! =makabila?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ndio mkuu, sasa hivi ukisema Mwanza fikra zako zitakutuma kufikiria kabila la Wasukuma, hivo hivo Tabora-Wanyamwezi, Dodoma-Wagogo, Iringa-Wahehe, Mbeya-Wanyakyusa n.k.
 
kugawanywa kwa mikoa mingi sio mbaya ila cha msingi ,wanagawanya mikoa mingi ili kufikishia huduma kirahisi kwenye jamii lkn hakuna kitu huduma ndio zinaendelea kuwa duni kama ilivyokuwa zamani tu.rais anaongea sana halafu utendaji wake hafifu kabisa ndio tatizo lake,anatengeneza taifa la kipimbi kwa kiasi chake choote alichokaa madarakani.lile daraja la kigamboni likiisha MR.Busha/Bush akishajenga mji wake wamfano pale hakuna mswahili atayetumia daraja lile tena kwani kule sie waswahili tutakuwa hatuishi huko.then wanataka watudanyanje kuwa itarahisisha kupita kwa watu wote kumbe sio ,yule ni zaidi ya msanii.hata kile chuo cha mwalimu nyerere memorial kitahamishwa .
 
Ujenzi majengo ya ofisi za wakuu wa mikoa au wilaya mpya ni njia mpya za ulaji. Kama ingekuwa ni suala la huduma basi haya majengo yangekuwa ni hospitali au mashule au hata vyuo. Hizo ndo huduma wananchi wanataka, siyo wakuu wa wilaya na mikoa. Kwa umri wangu (nakaribia kuzeeka) lakn sijawahi kuwa na shida inayohitaji utatuzi wa mkuu wa wilaya au mkoa. Hivyo, kwangu hata kama wasipokuwepo siyo issue.
 
Kuna tetes nazisikia kuwa mkoa wa Pwani nao wanataka kuugawanya!
Hapo lazima tupate mkoa wa bagamoyo. By the way, hivi kuna ulazima wa watu wanaoishi rufiji kusafiri mpaka kibaha kuonana na mkuu wa mkoa wao?
 
Huwa wanagawa kwa maslahi yao
Yaani unakuta mfano Wilaya Mama
ambayo inazaa Wilaya mpya una
kuta hakuna jipya lolote

Hata Mikoa huwa ni matatizo kila muda
tunaona usanii lakini CCM kazi yao
ni kuandaa Misamiati mipya
tunasogeza madaraka kwa Wananchi
(Ugatuaji wa Madaraka)

Chama cha CCM kitakumbukwa kwa Mabaya
tu daima .
 
Hizi wilaya/mikoa mipya ni kupeana ulaji tu!!
Yaani ni kutengenezeana ajira za kushkaji!!
 
kugawanywa kwa mikoa mingi sio mbaya ila cha msingi ,wanagawanya mikoa mingi ili kufikishia huduma kirahisi kwenye jamii lkn hakuna kitu huduma ndio zinaendelea kuwa duni kama ilivyokuwa zamani tu.rais anaongea sana halafu utendaji wake hafifu kabisa ndio tatizo lake,anatengeneza taifa la kipimbi kwa kiasi chake choote alichokaa madarakani.lile daraja la kigamboni likiisha MR.Busha/Bush akishajenga mji wake wamfano pale hakuna mswahili atayetumia daraja lile tena kwani kule sie waswahili tutakuwa hatuishi huko.then wanataka watudanyanje kuwa itarahisisha kupita kwa watu wote kumbe sio ,yule ni zaidi ya msanii.hata kile chuo cha mwalimu nyerere memorial kitahamishwa .
Mkuu hapo (bolded) sikubaliani napo asilan, mbona nchi za wenzetu hasa Ulaya husikii kuongezeka kwa mikoa/majimbo kwa sababu hiyo? Rais Kagame aliikuta Rwanda ikiwa na mikoa kibao lakini akaipunguza ili kuhudumia jamii kwa urahisi.
 
jamani hii hali inaboa, yani hakika hata Nyerere angelifufuka leo hii bac naamini atatamani kufa tena kwa madudu haya.
 
ccm na serikali ya kifisadi ya kkwet cha ajabu ina mkuu wa wilaya 2 kwa mwk 1 sas haina mkurugenzi toka kuanzishwa NYASA
 
Nimekuwa natafakari sana
huu mtindo wa kuanzisha mikoa na wilaya pindi watawala wapendapo
itatufikisha pabaya. Kwa kuwa tuna makabila zaidi ya 120 basi huko
tuendako tutafikia idadi sawa ya mikoa. USA ina states kama 50 tokea
uhuru na pana state moja ukubwa wake sawa na nchi yetu, sijasikia
wakigawanya eti KUSOGEZA maendeleo kwa wananchi. Hili liwekwe kwenye
katiba idadi ya mikoa/majimbo.

Yaani! kama hoja ni kusogeza hoduma kwa nini hizo pesa za kukuandalia wilaya, kata, na vijiji wasitumie pesa hizo kujenga huduma katika maeneo hayo.?
 
Back
Top Bottom