Kiama cha wabunge waliozoea kubebwa na bendera ya ccm

jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
29,697
Points
2,000
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
29,697 2,000
Kwa mwenendo wa kisiasa nchini mtakubaliana nami kuwa uchaguzi mkuu 2015 ni mwisho wa wabunge waliozoea kuchaguliwa kwa mkumbo wa bendera ya ccm.
Nasema hivi kwa kuwa chama changu kimepoteza na kitazidi kupoteza mvuto na hivyo kufanya sifa ya mgombea kuwa kigezo muhimu cha kupata ubunge.

Isitoshe,mwaka 2015 kutakuwa na ushindani mkali kiasi cha kuacha kila mgombea kujipigania kivyake na sio chama kupigania wagombea.

Kwa upande wa wagombea wa chadema hali itakuwa kinyume kwani bendera ya chama chao au tuseme vuguvugu la chama litawabeba wagombea.

Ni wazi wananchi wanaopenda mabadiliko wataamua kuzitupia kura zao kwa chadema bila kujali sifa za wagombea huku wakitumia umakini mkubwa katika kuamua wanaccm wachache kurudi au kuingia bungeni.

Ni muda wa kujipanga kibinafsi kama unataka kushinda uchaguzi kupitia ccm!ni muda wa kujipanga kwa kujiweka mbali na uchafu uliovikwa chama cha ccm.
Ni hayo tu kwa leo!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
29,697
Points
2,000
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
29,697 2,000
Arusha inaweza kuwa mfano mzuri wa hili nilalolisema.Batilda alitegemea bendera ya chama akachemsha vibaya!


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
CDM wamevunja uwekezaji mkubwa sana ktk siasa na mfumo wa kimafia wa ccm.Watakufa sana haswa wale waliokpa hadi bank kujenga himaya wakidhani ngwe ya pili watamalizia hasara ya uchaguzi.

bado waliowekeza kwa ajili ya watoto ili nao wawe km akina january,na riz1
 
P

prof.mwaleef

Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
10
Points
0
P

prof.mwaleef

Member
Joined Apr 28, 2013
10 0
CDM wamevunja uwekezaji
mkubwa sana ktk siasa na mfumo wa kimafia wa ccm.Watakufa sana haswa
wale waliokpa hadi bank kujenga himaya wakidhani ngwe ya pili
watamalizia hasara ya uchaguzi.

bado waliowekeza kwa ajili ya watoto ili nao wawe km akina january,na
riz1

Wataisoma Plate number ya CDM na M4C 2015, kama wanabisha wasubiri mwezi ujao kwa maana sasa umebaki mwezi tu kufikia huko! 'abda wakishinda kesi za Kuwakataa walimu kuwa wasimamizi wa uchaguzi, pia kesi feki za Kigaidi, na hata Udini wao wa CCM , pengine wanaweza kufika hata kwa Toroli.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Wataisoma Plate number ya CDM na M4C 2015, kama wanabisha wasubiri mwezi ujao kwa maana sasa umebaki mwezi tu kufikia huko! 'abda wakishinda kesi za Kuwakataa walimu kuwa wasimamizi wa uchaguzi, pia kesi feki za Kigaidi, na hata Udini wao wa CCM , pengine wanaweza kufika hata kwa Toroli.
JK si muda akitoka atakuwa msemaji mkubwa wa manyanyaso ya waislam ili asishtakiwe ,na kushindwa jiuliza kawafanyia nini waislam chema na cha kubadili maisha yao ambayo ni miserable.

Life haitokuwa nzuri sana kwa wanasiasa wa CCM personally, itakuwa ngumu sana kwa jamii ya kiislam,kwani watatumika sana wale waliopata hela kupitia "Ufisadi Scheme ya JK" ktk kuzilinda mali zao haramu.

Nawahurumia sana na naihurumia hii nchi kwani wamewkwa kubaya sana.
 
M

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Messages
3,255
Points
2,000
M

Mtarban

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2015
3,255 2,000
wajiandae kiama kinakuja
 
M

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Messages
3,255
Points
2,000
M

Mtarban

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2015
3,255 2,000
2020 watanyokaaa hao wapuuzi
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
29,697
Points
2,000
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
29,697 2,000
Wale wachafu waliokuwa wanabebwa na bendera wameanza kuhaha
 

Forum statistics

Threads 1,326,414
Members 509,499
Posts 32,221,180
Top