mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,881
Yupo jamaa mmoja anapitapita hapa jijini Dar akisimulia masuala ya Free Mason. yeye alijitambulisha kama Mlokole kutoka Kenya. Jana alikuwa kariakoo. Nilijaribu kumslikiza kidogo. kwa vile huwa nasikia watu wengi wakisema haya mambo nikaamua kununua Cd ili nipate undani wa haya mambo. kufika nyumbani na kuzifungua zile Cd nikagundua hazina kitu yaani alikuwa akiuza cd tupu. yapuuzeni haya matapeli

