Mangula amekumbana na kisiki Mbeya!!!!!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
876
Mgogoro Mkubwa umeibuka CCM mkoa wa Mbeya baada ya kumupitisha Mgombea (Burushi) katika uchaguzi wa Kata ya Iyela Mbeya.
Leo kundi pinzani ndani ya CCM liligoma kwenda kwenye kampeni kwa madai kuwa mgombea amepita kwa Rushwa!!!
Pia wapo wana CCM ambao wameanza kumubeza Mangula kwa Kitendo Chake cha kushindwa Kuwachukulia hatua Wana CCM waliopita kwa Rushwa wakati wa Uchaguzi wa ndani ambapo yeye Mangula aliahidi kufanya hivyo ndani ya miezi sita.

Wana CCM hao wanasema Mangula Mwenyewe anatuhumiwa na Yono kuwa alimulinda Lwenge ambaye alitoa Rushwa na kujipatia madaraka!!

Leo WanaCCM pinzani walijaa kwenye Mikutano ya Chadema na kubeza ile ya CCM!!!
 
mangula hana adabu,alichofata mbeya nini?aende njombe kwa jahpipo akamfundishe a,b,c....wau wa mbeya ni watu makini ndo wawahonge pilau na pombe?harudii tena
 
Mgogoro Mkubwa umeibuka CCM mkoa wa Mbeya baada ya kumupitisha Mgombea (Burushi) katika uchaguzi wa Kata ya Iyela Mbeya.
Leo kundi pinzani ndani ya CCM liligoma kwenda kwenye kampeni kwa madai kuwa mgombea amepita kwa Rushwa!!!
Pia wapo wana CCM ambao wameanza kumubeza Mangula kwa Kitendo Chake cha kushindwa Kuwachukulia hatua Wana CCM waliopita kwa Rushwa wakati wa Uchaguzi wa ndani ambapo yeye Mangula aliahidi kufanya hivyo ndani ya miezi sita.

Wana CCM hao wanasema Mangula Mwenyewe anatuhumiwa na Yono kuwa alimulinda Lwenge ambaye alitoa Rushwa na kujipatia madaraka!!

Leo WanaCCM pinzani walijaa kwenye Mikutano ya Chadema na kubeza ile ya CCM!!!
Safi sana. Swali:... hivi kwa nini kila burushi anataka uongozi kupitia ccm na kupata? Jibu: Kwa kua wana hela na uongozi ccm unauzwa na kununuliwa!
 
mimi sijakuelewa unataka kulipoti nini sasa,watu wengine bwana.
 
Mangula amepanda magugu anategemea kuvuna mchele...tehee!!:ballchain:
 
Mgogoro Mkubwa umeibuka CCM mkoa wa Mbeya baada ya kumupitisha Mgombea (Burushi) katika uchaguzi wa Kata ya Iyela Mbeya.
Leo kundi pinzani ndani ya CCM liligoma kwenda kwenye kampeni kwa madai kuwa mgombea amepita kwa Rushwa!!!
Pia wapo wana CCM ambao wameanza kumubeza Mangula kwa Kitendo Chake cha kushindwa Kuwachukulia hatua Wana CCM waliopita kwa Rushwa wakati wa Uchaguzi wa ndani ambapo yeye Mangula aliahidi kufanya hivyo ndani ya miezi sita.

Wana CCM hao wanasema Mangula Mwenyewe anatuhumiwa na Yono kuwa alimulinda Lwenge ambaye alitoa Rushwa na kujipatia madaraka!!

Leo WanaCCM pinzani walijaa kwenye Mikutano ya Chadema na kubeza ile ya CCM!!!

Hao ni wana cdm tayari na kama wakidai ni ccm huo ni uchangudoa wa siasa!! Burushi au Goro haina tija na mbeya yetu swala ni aliyepita anaweza kazi? maana leo asingekuwa mbeiruchi/Burushi ungesikia wameleta mnyaki au msafwa ilimradi hawakosi cha kusema? lamsingi tunawaomba wanambeya watangulize Mbeya kwanza na Iyela kwanza!!
 
makundi ndani CCM ni kanuni yao! Kwani bila makundi hawawezi kupata wanotaka waendeleze ufalme wa kiCCM! Hapo sasa tunachokifahamu ni yaleyale aliyetoa pesa nyingi za kutetea chama na si wananchi! Kwani mkimchagua ninyi wanambeya mjue lazima aanze kuchanga zake kwanza alizotoa Rushwa! Waulize wa Makambako watawasimulieni ndugu zangu! Mi natoka Namtumbo kwa Mtoto aliyekuwa Waziri mkuu Mzee marehemu Kawawa- sasa kuna Mwanae VITA KAWAWA - mbunge! Kazi huko Mbeya Iyela.
 
Back
Top Bottom