Voda Mnaleta kinyaa kwa wateja wenu!!

Voda Mnaleta kinyaa kwa wateja wenu!!

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
1,183
Reaction score
261
Kabla ya Kuwashitaki TCRA,

Napenda kuwatangazia kuwa hii kampuni ya vodacom wanaleta usumbufu usio wa kawaida kabisa kwa wateja wake napenda kusema kuwa ni WIZI wa wazi kwa wateja wake!

Unaweka vocha ya sh 5000, ukitaka huduma unayotaka kama kupiga simu nk unaambiwa hauna salio la kutosha, ukiangalia salio limekuwa 0.00 DUH!! ukiwapigia wanaleta lingolongo ohh piga baada ya nusu saa, tatizo lako tumeliwasilisha kwenye kitengo maalum, ohh jaribu tena kutupigia kesho!

tunaandaa charge kwa ajili ya kuwashtaki TCRA, ndo mtajua kuwa TZ sio ile tena mliyozoea ya kuwaonea wateja, kila mtakapo!

this is all ----!!
 
mkuu tatizo lako litakuwa kwamba hilo buku tano lako limemezwa na data usage! na sio wizi wa vodacom.mimi unitokeaga kama cna bundle ya data,kwenye simu
 
Ukweli wanakera nimekuwepo voda kwa miaka 13 sasa naona uzalendo una taka kunishinda! Yamenitoke sasahivo! Mnakera !!
 
Nakubaliana na wewe. Jana usiku nilijiunga na bundle za cheka nao za dk 10 ila niliongea kwa dk 5 tu simu ikakatika ikifuatiwa na sms kuniarifu kuwa dk zangu zimeisha. Saa 1 baadae nijiunga kwa dk 20 ila niliongea kwa dk 3 tu..
 
mkuu tatizo lako litakuwa kwamba hilo buku tano lako limemezwa na data usage! na sio wizi wa vodacom.mimi unitokeaga kama cna bundle ya data,kwenye simu

Mkuu niko field situmii bandle, internate natumia Airtel.... VODA ninao kwa miaka 10 sasa mhhh natafakari sana! sasa nimehania eatel nawwcha taratibu hwa wazushi...
 
Hiyo vocha inakuwa imeingia? Pili ni mara ngapi tatizo limekutokea?

mkuu inaingia kbs, mfano imemtokea tena jamaa yangu jioni hii ya leo.. aliweka buku 3, akajiunga na bando akabakiwa na buku 2, katumia bando lake likbaki sec 30 katamani kuongeza, leo kaweka buku moja ili iwe buku 3... toba hata kale alikoweka.. kwisha pyuuuuu! akipiga longolongo tupu mpaka akahang out!!

kwa kweli mnakera saaaaana VODA.. tunawasema huku kwa kuwa tukiwapigia customer servise zao ni pasua kuchwa.. mtajibeba sasa!
 
Mitandao yote ya simu sasa hv ni majinga kabisa,
jana tIGO wameziingua sana kama 3 hrs ukiipiga unaambiwa simu yako haiwezi kuunganishwa, 3 hrs kweli mnashindwa kurekebisha tatizo hilo? Hivi hakunaga utaratbu wa kuwafungulia charge kwa kukoseshaa mawasiliano kwa mteja? nadhani ifike sehemu tuwe tunawashtaki ili tuheshimiane?
 
mnashangaa nin tanzania hakuna benk wala simu wote wezi tu na serikali inasimamia wizi.

mimi nilijiunga na bundle la 30000, kumbe haijaunga bana hela yote ikaliwa, nilitukana sana

nilikopa benk za wezi majina yanaanza na herufi N na wengine herufi B ni jina rangi au B jina la bandari au Uwanja wa ndege

benk za wezi hakianani siamini..
 
mkuu tueleweshe hapo,
 
nimeikimbia tigo nikahamia voda kumbe huku nako mambo ndo yaleyale tu.? Sasa bora mtandao gani jamani?
 
Mkuu niko field situmii bandle, internate natumia Airtel.... VODA ninao kwa miaka 10 sasa mhhh natafakari sana! sasa nimehania eatel nawwcha taratibu hwa wazushi...
Hata Airtel nao wezi tu.
Jana asubuhi nimejiunga na kifurushi cha 75MB, 25DK & 200SMS, kufika saa sita eti MB zote zimeisha wakati sijapakua kitu chochote kizito zaidi ya kuperuzi JF!!!
 
Hakuna kampuni ya simu za viganjani inayomilikiwa na wazalendo, so jiandaeni kuendelea kuumia!
 
Hiyo vocha inakuwa imeingia? Pili ni mara ngapi tatizo limekutokea?

Unaleta ufasist! kama mdau wao sema! si kukataa! mimi mwenyewe nimeamua kuacha kutumia hiyo voda, ni wezi kweli! unaunga cheka, unaambiwa huna salio la kutosha! wezi! wezi! wezi! tena mno! mara nyingi sana!
 
Kabla ya Kuwashitaki TCRA,

Napenda kuwatangazia kuwa hii kampuni ya vodacom wanaleta usumbufu usio wa kawaida kabisa kwa wateja wake napenda kusema kuwa ni WIZI wa wazi kwa wateja wake!

Unaweka vocha ya sh 5000, ukitaka huduma unayotaka kama kupiga simu nk unaambiwa hauna salio la kutosha, ukiangalia salio limekuwa 0.00 DUH!! ukiwapigia wanaleta lingolongo ohh piga baada ya nusu saa, tatizo lako tumeliwasilisha kwenye kitengo maalum, ohh jaribu tena kutupigia kesho!

tunaandaa charge kwa ajili ya kuwashtaki TCRA, ndo mtajua kuwa TZ sio ile tena mliyozoea ya kuwaonea wateja, kila mtakapo!

this is all ----!!
Mkuu, nawaomba pia voda wawe na ushirikiano, kwa mfano namba hii ya voda, je imesajiliwa? 0750001360. Kwa nyakati tofauti, imekuwa ikitumia lugha mbaya. Je, imesajiliwa kwa jina gani? Kunradhi.
 
nilinunua bundle ya mb 500 chini ya dk 10 kwishney sijadownload hapo ilibaki na hela 2700 nayo kwisha kabisa ukiuliza longolongo kibao aagh voda wajirekebishe
 
kikweli voda wanakera sanaa, ukijiunga na hiyo supa cheka yao, unapewa dakika 15 ukipiga simu mbili tu hata kama umetumia dakika 2 kila simu unatumiwa ujumbe dakika zako zimeisha, kaaaaaaaaaaaa, wanaboa sana ukizingatia umejiunga kwa mahesabu!
na usiombe ukosee namba kumtumia mtu hela kwa voda pesa, utakaa hata 5 days wakikupa viswahili kibao, mara utatumiwa ujumbe, mara nenda makao makuu, yaani ni balaaa
 
Last week nimejiunga na internet bila kikomo ya simu 10000 imeliwa yote sikupata huduma mpaka nimejiunga tena nimewapigia wanasema inashughulikiwa mpaka Leo kimya hakuna taarifa yeyote wala kurudisha salio langu. sijui bei mpya anawadhuru wanatafuta namna ya kufidia,?
 
Back
Top Bottom