Maoni ya Chama cha ACT Wazalendo Kuhusu Mabadiliko ya Sheria Zinazohusu Rasilimali za Taifa:
1. Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010.
2. Sheria ya Uhuru wa Milele wa Utajiri wa Taifa ya mwaka 2017.
3. Sheria ya Mapitio ya Mikataba ya Utajiri wa Taifa ya mwaka 2017.
Utangulizi:
Kwa...
Rushwa inaweza kuwa katika makundi makuu mawili. Aina ya kwanza ni ile inayomuhusisha mtu mmoja mmoja hususan pale anapotumia madaraka yake na ofisi ya uma kwa manufaa yake binafsi. Katika mfumo huu, watu katika jamii huwa hawahusishi maisha ya mtu binafsi na ya utumishi wake katika ofisi za...
RAIS Paul Kagame wa Rwanda amemteua Mtanzania, Profesa Silas Rwakabamba kuwa Waziri wa Miundombinu wa nchi hiyo katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Jumatatu iliyopita.
Profesa Silas Rwakabamba.
Kabla ya uteuzi huo, Profesa Rwakabamba alikuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha...
Tafiti ndo njia pekee ambayo mataifa yaliyoendelea huamin katika kutambua matatizo na suluhusho ya hayo matatizo. Ni kwa msingi huo, haya mataifa yamekuwa yakiwekeza zaidi katika tafiti kwa kutumia vyuo vyao vikuu. Makampuni mengi ya kimataifa nayo yamekuwa yakifadhili tafiti hizo kwa sababu...
Mbowe anataka wabunge wake wafanye kadri atakavyo the same to CCM. Kwa hiyo wanasiasa wa Tanzania na vyama vya Tanzania hakuna tofauti na haitokuja tokea. Kwa sabab na sisi tunaojiita wafuasi wa vyama hivi ni dhaifu huwa tunafata kile watakacho wao. Siipendi historia ile ya kuwa wakati wa...
Ahsante sana.....chapisho kama hizi ndo zitakuja ipa jamii forum sifa yake ya zaman. Hope tutajadili hapa kwa mustakabali wa taifa letu na sio kwa mihemko. Pia tutapata nafasi ya kuwachambua waandishi wetu hususan wa makala na habari za kiuchunguzi.
unawaomba viongozi wa dini wakati wenyewe ndo wapo nyuma ya kila mpango ovu......umeambiwa sumaye ameombwa na maaskofu wa KKKT sabab raisi wanataka atoke KKKT? ts Roma against KKKT. Wapumbavu na malofa pekee ndo hawajui chochote
kweli nyinyi ni malofa na wapumbavu hamuelewi hata mueleweshe vipi. Sumaye hajasema anakuja komboa amekuja kuwasaidia kuongoza sababu hamjui.....wapumbavu ni nyinyi
mungu siku zote huonyesha nia ovu zilizopo kwenye mioyo ya watu.....Lowasa ni shetan anayejaribu kuishi kma malaika huku akitaka watu wamuone kma mungu. Kakutana na ibilisi mbowe sasa wafuasi wajiandae kujenga safina maana mungu atawaletea gharika kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.