Mpaka sasa ndani ya NCHI HII nimepata kuona aina mbili za marais waliopata kuongaza nchi yetu ukimwondoa BABA wa TAIFA....
Nayo naiweka katika makundi yafuatayo...
Kundi la kwanza limepatwa kuongozwa na WAFUATAO
Mwinyi....Mkapa na Kikwete kwanini hawa nimewaweka katika hili kundi la KWANZA..bila kupepesa macho hawa ni aina ya MARAIS walioindesha nchi kwa kuchekeana sana kwenye MAMBO ambayo kwa kiasi fulani yametukwamisha sana kama NCHI KUSONGA mbele na sijakataa ya kuwa kwa kiasi fulani walitimiza wajibu wao na ndio maana baada ya wao kuondoka madarakani wapo baadhi ya WATANZANIA walidiriki kusema Bora MWINYI...Bora MKAPA au Bora ya KIKWETE maana kuna baadhi ya Mafanikio yao yalioonekana.
Kundi la pili ni kundi ambalo mpaka sasa limepatwa kuongozwa na MAGUFULI TU maana mpaka sasa hakuna kuchekeana na kuzoea kuishi kimazoea na kupenda mteremko katika MAISHA na kuwakandamiza wasio nacho...wote sasa tunahangaika kujitafutia vya halali..ni wachache tu walionufaika na awamu zilizo pita ndio wanaopiga mianoo kwa sasa...
Sasa ebu watanzania WENZANGU tumuache huyu mzee wa WATU aitumikie hii nchi kama ambavyo tuliweza kuwapa hao wengine nafasi kututumikia bila kuwakatisha tamaa kwa kiwango kikubwa kama tufanyavyo sasa KWA RAIS MAGUFULI ili tuone ni wapi atatufikisha kama NCHI kutokana na aina ya STAILI YAKE YA UONGOZI maana ni ya kipekee sana....
Ili mwisho wa siku tujitafakari sisi kama WATANZANIA je kupitia aina zote za MARAIS tuliopata kuongozwa nao ndani ya nchi hii....NI AINA IPI INATUFAA JE,,RAIS MKOROFI KAMA MAGUFULI au RAIS MPOLE KAMA JK and the rest????......ndio tufanye maamuzi, Kwa sasa tumpe MUDA huyu tunaemuita NI DIKTETA yutaishi maisha yake then tuone atatufikisha wapi....